Turudi kwenye Old School Hip hop.
Hivi ni Collabo gani ya HIP HOP haikuwahi kufanyika hadi leo unasema, Kama ingefanyika basi ingekuwa hatari sana.
Naanza Mimi, Collabo ambazo nilitamani kuziona lakini hazikufanyika. Za HIP HOP lakini.
JOSE MTAMBO&JAY MOE.
.
AFANDE SELE&ALBERT MANGWEA
...
Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow[emoji91][emoji91][emoji119]
#forgive me
Dizasta vina hatia 1V.(hatia ya nne)
Hii kwangu ndio ngoma bora zaidi kutoka kwa Dizasta, Sijaona ngoma ya Dizasta inayoweza kukaa juu ya hiyo. Sio Mwanajua,Shahidi,Kikaoni wala Kibabu....
Mnasemaje wadau?
#forgive me
Wakuu habari za asubuhi, Kwema ndugu zangu. Watu wa Hip Hop nawaomba hapa.
Hivi ni kweli Album ya Profesa Jay, Machozi Jasho na Damu. Ndio Album Bora ya HIP HOP ya muda wote?
Kama ni kweli kwa vigezo vipi? Karibu wadau tuchangie..
#Forgive Me
Wakuu kwema? Darasa na Stamina at their peak nani hatari zaidi? Nani ana punchline nzito, ni nani mkali zaidi linapokuja suala la Hip Hop?
Stamina Vs Darasa.
#Forgive Me.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.