kisu kwenye mfupaumegonga mshana jr
kanda ya ziwa matajiri wengi ni shida,kuna ndugu wawili nawafahamu kabisa utajiri wao unamashaka kabisa ,kuna huyo mzee ni maarufu congo,rwanda na Burundi yote wanamtumia kwa mambo hayo.hii dhana ya utajiri wa kishirikina ipo sana watu wanajenga nyumba zao...
mkuu mwenyewe situation kama hii inanitokea naweza kuwa sehemu tena mara ya kwanza kufika ,lakini kuna kitu kinakuja kama niliwahi fika hapa before..wanao fahamu hii kitu watudadavulie
Vipaji vipo sana Tanzania, kuna siku nimehudhuria graduation, dogo alikua anamaliza TPDF, nikaoneshwa dogo mmoja alikua anaweza link milipuko na simu, Mwamunyange aliona dhahabu ile isipotee, naskia dogo alitokea depo ya polisi wakampeleka TPDF kutokana na talent yake.
Kuna akina Mayweather...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.