kweli ila mimi siitaji undugu wa hiyali ni wewe tu na upeo wako wa fikra na wala sija wahi kuku sumbua kwa lolote lile kama lipo wewe lilete hapa niumie kwa lipi.
acha dharau atujuani hapa ote tupo nyuma ya kaybord ndio mqna una andika vile u think tu
basi sawa humu kila mtu ana kula kwake.
*nili kuheshimu sana
*nili kupenda sana
ila kila lenye mwanzo, ali kosi kuwa na mwisho,wewe ndie uli nika libisha humu na kumbuka
kila la kheri
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
pole pole bibie haya mambo haya taki hasira kabisa,ngoja mfungo uishe tu tubu kwanza dhambi zetu.
takuta futa baada ya mfungo.
hapana mimi sipo hivyo labda wewe kama una taka kuli kuza hili
jambo ila mimi binafsi sipo na majibu ya
*nyodo
*dharau
*kibri
*majivuno
nk
naishi maisha simple sana na ndio kitu mama yangu huwa ana niusia siku zote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.