Recent content by JPMKM

  1. J

    Wanaowabeza Polisi mitandaoni ‘kushughulikiwa’

    Hivi ww unatoa kauli na bado unajua kwamba siraha hizo zitaenda kuuwa na maeneo gani?Unajisikiaje zikija uwa wazazi wako/mke wako/Dada yako/Watoto wako/ndugu zako wakaribu.Siyo sawa kuongea lugha hiyo kumbuka waliopoteza maisha wanafamilia kama wewe.Watoto wao walikuwa wanawahitaji baba zao ila...
  2. J

    Magufuli: Kuna viongozi wa UVCCM wamegawana magorofa ya vitega uchumi ya umoja huo

    H Hii mada nadhani inawahusu wana ccm zaidi haina tija moja kwa moja na jamii nzima maana wengine hapa hatuna vyama.
  3. J

    Serikali ifanye haya kutokomeza mimba za utotoni. Kuwafunga watu miaka 30 siyo suluhisho

    Kipengele cha 3 hakina ulazima kabisa maana kinakiuka haki za binadamu.Kupima bikra ni uzalilishaji,upimaji unatokea pale inapotokea kuna ulazima kwamba binti amebakwa.So hakiwezi tekelezeka. Bikra huweza kuondoka bila kujamiana na mwanaume. Asante mtoa uzi!
  4. J

    Sabodo: Sitawapa tena CHADEMA pesa yangu, nitampa Rais Magufuli

    Huna haja ya kutangaza kama huwapi maana msaada ni hiari mzee Sabodo na isitoshe huna uukweli wowote katika hilo unalosema.Tunataka kujua kwanza biashara zako unalipa kodi vizuri mzee wetu. Rais wangu mimi akumbatii wakwepa kodi sasa unashituka nini sasa hivi.Unataka kiki au?
Back
Top Bottom