Recent content by Jpiere

  1. J

    Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Kile kilichowahi kunenwa na Katibu wa itikadi na uenezi Ccm kuwa tutashinda hata kwa goli la mkono linajidhirisha katika hizo kura feki. Dhambi zao zitawatafuna, fimbo watapigana vichwani kama kule kwa Job. Sisi wanaukawa ni ustaarabu kwa kwenda mbele. Ukawa safiii!!
  2. J

    Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Lowassa anatambulika hata asipovaa gwanda. Shaka ondoa, hope huko mbeleni atalivaa. Tumpe nchi afanye kazi!
  3. J

    CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

    Acheni Lowasa achukue nchi. Yeye ni kipenzi cha wengi ndani na nje ya Maccm.
  4. J

    Pole Frank, mchumba hasomeshwi

    Dah pole Frank. Hapo kachepuka halafu kanogewa hata zana kasahau. Ni changamoto jikaze tu boss wangu, japo inauma. Kama unampenda na ye bado anakupenda pima weka ndani. But hakuna mwanamke utamkuta bikira katika ulimwengu huu. Ni nadra sana. Take it easy mani!
Back
Top Bottom