Recent content by joz_keylaw

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kongole Benki ya CRDB kwa ubunifu huu wa kidijitali

    Wengi wetu neno dijitali tulianza kulifahamu wakati ule mfumo wa televisheni zetu unahama kutoka analogia kwenda dijitali, neno hili lilipata umaarufu sana lakini ukiuliza maana halisi ya dijitali na msaada wake wengi wetu tulikuwa hatufahamu. Katika harakati zangu za kulijenga taifa letu leo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania CRDB Mnatuibia, acheni

    Benki ya CRDB wanakituo cha huduma kwa wateja, website na akaunti za instagram, twitter na facebook tembelea huko watakuelewesha zaidi na kukupatia utatuzi wa suala lako, wanasikiliza sana, mm nadhani hiyo ni njia sahihi ya wewe kupata maelezo ya kina.
  3. J

    JamiiForums Tanzania CRDB Mnatuibia, acheni

    Mimi nadhani ulipo patwa na huo wasiwasi wa kwamba unaibiwa ungeli uliza kwa wahusika na wakakupa maelezo, huwa kwa taasisi na makampuni yanayofanya biashara inayopokea malipo kutoka kwa wateja/suppliers/nk huwa wanafunguliwa Akanti za Collection (Makusanyo) ambapo zinakuwa na Management Fee...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nimekatwa laki 2 kwa kutumia ATM ya DTB

    Braza hilo nitatizo tu la kawaida, binafsi nilishawahi kutoa hela NBC wakati natumia CRDB. Nilitoa laki moja lakini ikawa haijakatwa, pale huwa wanaihold ili baadae waikate kama system inasumbua... ilipokuja katwa nikakuta kuna difference ya laki2 na sio laki 1, nilipofuatilia vizuri...
Back
Top Bottom