Recent content by Joyce

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mistari mapajani

    Mh napita tu, kazi kweli kweli tunashukuru kwa uchambuzi mzuri hapo juu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    Wazo zuri sana na nia inaonekana kuwa njema tu,speed imekuwa kubwa kiasi cha kuacha wahitaji wengine nje. Mimi mmoja wao nahitaji hii kitu ndio vipi sasa wakuu?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msanii wa taarab wa kundi la TOT plus, Mariam Khamis maarufu kama paka mapepe amefariki dunia

    Rip mamii,mbele yako nyuma yetu mpendwa!
  4. J

    JamiiForums Tanzania SMS hizi! Ungefanyaje?

    mh fabilone, hapo patakuwa baa hakyanani hata si kanisani wajameni!
  5. J

    JamiiForums Tanzania SMS hizi! Ungefanyaje?

    teh teh, du ukisikia ziro ndio john na wanao fanana nae.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Hata babu alikuwa kaka zetu dua umeona eeh! Subiri kidogo hakunaga seba akujiwe kwetu bugabo
Back
Top Bottom