Recent content by Joyce SARINGO

  1. Joyce SARINGO

    JamiiForums Tanzania Bashe na mtazamo wake juu ya maandamano ya CHADEMA (UKUTA)

    LOWASA AICHINJIA BAHARINI CHADEMA -Kuachiwa huru hivi karibuni katika kesi ya Kutokutii Amri ya serekali -Ni Agizo kutoka ngazi zajuu Taarifa za ndani kutoka chanzo cha kuaminika zimebainisha kwamba majalada la mashitaka la Mh. Lowasa na Prof Baregu yameanza kupitiwa na gazi za juu kwa ajili...
  2. Joyce SARINGO

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Ni kweli, umeme mionzi ni mkombozi. Nimemua kutokununua UPS sasa Ninatumia Mionzi Jua ni raha mustarehe ofisini.
  3. Joyce SARINGO

    JamiiForums Tanzania Butiama pataendelea kuwa mahali muhimu.

    Kutokana na historia inaonekana kwamba kabila la wazanaki lina zingatia na kuenzi MAADILI NA TUNU za utu, upendo, Uwajibikaji, uzalendo, Amani na Utulivu ambayo wamekuwa wakiirithisha kizazi hadi kizazi. Kila Kiongozi aliyepata fursa ya kupata baraka toka kwa wazee wa kizanaki wamekuwa...
Back
Top Bottom