endelea kuwa nae maana kaamua kuacha ....muokoe kwa hilo maana watumia mkorogo ni kama wale watumiaji wa madawa ya kulevya kama ameridhia kuacha mshike mkono....maana anatumia mkorogo ili apate attention
Mmmmh kuwa single hapana mi na album ....mapenzi yana raha yake jamani ....nilikaa single mwezi nikaona Kama mwaka hakuna wa kukuuliza umeamkaje, kubembelezwa ,kudekezwa hakuna duuuh usingle hapana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.