Msituone kimya wanawake tunavumilia mengi, hatutaki pesa zenu, migegedo pia ni muhimu

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,036
737
023f03e5a74d3f280ee8716920ee346d.jpg
 
Hivi wanaume wengine huwa wanawazaje? Hivi ndoa ni nini? Unakuta mtu anakaa na mke kama dada yake, yeye anadhani mke kaja kuishi kwake kama ustawi wa jamii ale na kuvaa!! Jamani ndoa(tendo) ni hitaji muhimuu
 
Wewe utavumilia kwa muda gani?
Inategemea na madanga mangapi yananipa pressure huko nje...ntapima,japo kwa ujumla wanawake ni wavumilivu mnooo...mtu anaeza kua hakutii ila unamheshimu km kawa na unaona ni problem ya muda tu itapita
 
Back
Top Bottom