Recent content by Jow Ruta

  1. Jow Ruta

    Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    Wanasheria ni watu wenye standards zao. huwaoi kizembezembe tu. Ofcourse utatupiliwa kule na ataweza kujimanage mwenyewe bila kumtegemea mtu. Standard goes with standard.
  2. Jow Ruta

    Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    Angeoa wa la saba kabisa.[emoji23][emoji23] ....
  3. Jow Ruta

    Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    Tatizo la wanaume wengi, wanapenda upelekeshaji au ukandamizaji wa chini chini ndo maana akipatikana mwanamke asiekubaliana na upelekeshwaji wanachachamaa. most men wanapenda domination. Mwanamke msomi yeyote, anaejielewa na kujiamini hatapatana na mwanaume wa kihivyo. Nawajua wanasheria...
  4. Jow Ruta

    Yupi anayefaa, Tajiri ila hana muda na mimi au mwenye uwezo wa kawaida ila yupo nami muda wote

    Jibu nahisi unalo. Acha kua na wasiwasi ma fanya hicho unachokiona kuwa sawa
  5. Jow Ruta

    Naomba msaada wa kisheria katika hili

    Lipa kwanza deni na kama kuna mlikubaliana siku ya malipo, (as a reasonable man) ulitakiwa kujua consequencies of the delayal. Ila kama hamkukubaliana deadline na wao walielewa hali yako, basi wanakosea kukupiga fain. Na huyo mtoto umpeleke shule.
  6. Jow Ruta

    Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    Unamuacha mwanamke kwasababu ya post ambayo imetungwa social media... we call that cowardness cause utakua umemuacha kwa kuogopa elimu yake na kwa sababu zisizo kua za msingi..... ulimpenda mwenyewe.
Back
Top Bottom