Recent content by jovotho

  1. J

    Lini kampuni ya vodacom itaanza kulipa corporate tax (income tax)

    kwa taarifa yenu sio hilo tu, haya nayo pia: Magari na vifaa vyote vya kujenga minara vinapita bandarini bila kodi sahihi TiGo nao wamo ktk misamaha (isiyoeleweka) ya kodi ya kuingiza vifaa na magari Kati ya wamiliki wakuu wa Vodacom ni Rostam Mzee Kitilya (commisioner wa TRA) anayajua yote...
  2. J

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    Kwa kweli hili swala la mbunge kukataa kuhojiwa kwa makosa anayoshukiwa kutenda lilikua linanitatiza sana! nilikua najiuliza kama ni kweli mtu mmoja (an individual) anaweza kuwa juu ya dola, nilikua sipati jibu. lakini, Baada ya kufuatilia maoni na mawazo ya watu mbali mbali na hasa ufafanuzi...
Back
Top Bottom