Lini kampuni ya vodacom itaanza kulipa corporate tax (income tax)

Ukitaka ujue ni kwa nini hailipi kodi fatilia wanahisa wakubwa wakitanzania ni akina nani, utajua the reason why hawalipi. Kwa kukuibia kidogo tu Rostam ana hisa nyingi katika vodacom(tz). Utashangaa sana !
 
Dear Next Level,

Bahati nzuri suala hili sio siri. Kama una mashaka, nakuomba uwasiliane na TRA au Wizara ya Fedha au VODACOM wenyewe. Ukiwapata VODACOM waombe wakupe Taarifa zao za Hesabu za kila mwaka (Annual Audited Accounts & Reports) na uzisome kwa ukamilifu wake kisha tutaarifu wana JF. Chanzo changu si TRA wala Wizara ya Fedha wala VODACOM bali Bunge letu.

Mkubwa SS,

Ulitakiwa ufanye homework kidogo! Nijuavyo mimi, VODACOM wameanza kulipa corporate tax tangia mwaka wa fedha 2007/2008 na mpaka sasa wanalipa kodi hii. Hata Celtel (zain) nao walianza kulipa corporate tax kati ya mwaka 2006 na 2007, mwanzoni walikuwa wanautilize tax losses kutoka miaka ya mwanzoni zilizotokana na capital expenditure kubwa hasa kny minara na mitambo mingine ya simu!

So sio fair kuweka claims ambazo sio sahihi kwa wakati uliopo mkuu! Hata ungetembelea tovuti yao, ungeweza ona wanareport EBIT (Earnings before interest and tax) ambayo ni +ve....though hawaonyeshi ni kodi kiasi gani wamelipa!....ona kwa mfano kaextract haka;
Vodacom Tanzania’s operating profit was R615 million and EBITDA was R1 049 million for the year, up 33.6% and 37.0% respectively on the prior year with an EBITDA margin of 35.3% compared to 32.5% a year before. In Tanzanian shillings, profit from operations and EBITDA increased by 10.9% and 13.7% respectively. The margin increase was supported by cost containment measures, and lower management fees and fuel consumption.
Vodacom tangia last year wanalipa corporate tax na tangia wanaanza wamekuwa wakilipa other taxes kama excise duty, VAT, Service Levy,SDL,W/taxes etc isipokuwa Corporate tax.

Vodacom wanalipa corp tax muda sasa.....fanya utafiti....zaidi

Hivi ni kweli wanalipa? Na kama wanalipa kwa nini huyu jamaa ameraise issue kama hii bila kuwa na uhakika ama datas? Inanipa wasiwasi kwamba huyu mtu anatifu na voda ama ni miongoni mwa kampuni za simu kama tigo na zain wanataka kutibua tu mipango ya voda. Kama uda data za voda kulipa hizo kodi zianike wenye fitna wanyamaze.
 
Mkubwa SS,

Ulitakiwa ufanye homework kidogo! Nijuavyo mimi, VODACOM wameanza kulipa corporate tax tangia mwaka wa fedha 2007/2008 na mpaka sasa wanalipa kodi hii. Hata Celtel (zain) nao walianza kulipa corporate tax kati ya mwaka 2006 na 2007, mwanzoni walikuwa wanautilize tax losses kutoka miaka ya mwanzoni zilizotokana na capital expenditure kubwa hasa kny minara na mitambo mingine ya simu!

So sio fair kuweka claims ambazo sio sahihi kwa wakati uliopo mkuu! Hata ungetembelea tovuti yao, ungeweza ona wanareport EBIT (Earnings before interest and tax) ambayo ni +ve....though hawaonyeshi ni kodi kiasi gani wamelipa!....ona kwa mfano kaextract haka;

Vodacom tangia last year wanalipa corporate tax na tangia wanaanza wamekuwa wakilipa other taxes kama excise duty, VAT, Service Levy,SDL,W/taxes etc isipokuwa Corporate tax.

Mzee EBITDA ni general terminology ya kihasibu kwenye hesabu zao, kuweka hii haina maana wamelipa Tax au kuna Corporate tax, corporate tax inaweza kuwa ZERO lakini bado ukaweka EBIT au EBITDA.

On the other hand pia bado hakuna uthibitisho kama wanalipa kodi au hawalipi.

Bado sijaelewa kama wanalipa au hawalipi, na kama hawalipi kwa ajili ya ku recoup investments zao (Machineries and equipments) sioni tatizo kwa kuwa income tax act inaruhusu kwa makampuni yote, kufuatana na taratibu zilizopo.

Tufanyeni research ya kutosha kabla ya kukurupuka humu.
 
Kamanda FP umeniangusha sana......!

Mbona nimeeleza vizuri hapo juu kny post yangu? Labda sijui nirudie....ila kifupi ni kwamba mimi nafahamu kwamba VODACOM Tanzania wanalipa Corporate tax tangia mwaka wa fedha 2007/2008 (mwaka wao unaanzia 1 April to 31 March)....nina uhakika huo!

Pili najua hiyo EBIT.....Kirefu chake ni Earnings Before Interest and Tax..... kutoka hapo unadeduct Interest....then tax! Sasa kwa non Financial company sitegemei wawe na interest deductions za ajabu, unless wanamamikopo ya makubwa sana kiasi kwamba interest inaweza kumaliza profit yote kabla ya Tax!

Hata na hivyo, company inaweza ikalipoti a Pre-tax Profit but ikawa na adjusted Tax Loss due to utilisation of brought Forward Losses........! So kale ka quote nilikaweka pale only tu kuonyesha profitability ya kampuni, sio confirmation ya kulipa kodi! Confirmation ya kulipa kodi ninayo from my own sources!
 
Dear Next Level,

Asnte kwa changamoto zako. Tunaomba uende mbele kidogo na kutujulisha kiasi chao cha mapato (Gross Income) kwa mwaka huo wa 2007/2008 na 2008/2009.

Siku njema kwenu wote.
 
Du!!! Kweli wajinga ndio waliwao! Yaani Ufisadi hadi ndani ya uvungu wetu na bado serikali haionyeshi km ina hisia ama inauchungu wa kuwasaidia wananchi wake. Hivi vodacom ina uhusiano gani na SHIVACOM ya mheshimiwa sumaiya
 
Dear All,

Ni matumaini yangu kuwa wote mnafahamu kuwa kampuni ya VODACOM ilianza shughuli zake rasmi hapa nchini mwaka 2000. Mpaka sasa ina wateja wasiopungua milioni 6.

Kitu cha kushangaza ni kuwa kampuni hii haijawahi kulipa kodi ya mapato (corporate tax) toka ianze shughuli zake hapa nchini kutokana na msamaha ambao imekuwa ikipewa na Serikali yetu kila baada ya miaka mitano kuanzia mwaka huo wa 2000.

Kutokana na faida kubwa ambayo wanaipata kila mwaka tunaomba VODACOM ianze kulipa Kodi ya Mapato kuanzia mwaka ujao wa fedha 2010/2011 (asilimia 30 ya faida ya mwaka).

Tunaomba sana wabunge wetu watusaidie katika suala hili zito na kuhakikisha kuwa VODACOM (T) LTD wanalipa kodi ya mapato kuanzia mwaka ujao wa fedha, 2010/2011.

Makisio ya kati yanaonyesha kuwa kama taifa tunapoteza shilingi kama bilioni 240 kwa mwaka kwa kuwaruhusu VODACOM kutokulipa kodi ya mapato.

kwa taarifa yenu sio hilo tu, haya nayo pia:
  1. Magari na vifaa vyote vya kujenga minara vinapita bandarini bila kodi sahihi
  2. TiGo nao wamo ktk misamaha (isiyoeleweka) ya kodi ya kuingiza vifaa na magari
  3. Kati ya wamiliki wakuu wa Vodacom ni Rostam
  4. Mzee Kitilya (commisioner wa TRA) anayajua yote sijui tatizo . . .
wana Jamii naomba msaidie kutafuta ukweli zaidi wa maovu haya.
 
Huenda wana enjoy tax holidays na hata reliefs as a result of the many contributions they are making to communities....

do the contributions directly equate to the value of the tax? Why cant the government provide such a scheme to others? From my understanding, paying Tax is obligated by the law to every person. U therefore cannot favor others due to their 'contributions' to the society. Kwanza kabisa hii tax holiday ya kuleta investors ni UPUMBAVU. Tumekaa hapa na kuibiwa, huku program inaendelea. Everyones knows this, la kushangaza kimya. Futilia mbali huu ujinga. Kama investors hawaji, hamasisha wananchi wawekeze katika nchi yao. Tulikuwa na cooperatives...sasa zimekufa. People should learn to pool money together and invest. Sio kungojea investors wa nje waje na kuiba kila siku. Hapa ndo utaona umuhimu wa elimu. Kazi kweli kweli...
 
inawezekana jamaa kweli hawalipi kodi maana yake kwenye financial statement yao part ya TZ wameweka details za revenue, operating profit, expenditure lakini Tax hawakuweka.
wameweka tax kwenye group tax kwa ajili haujui tax imelipwa wapi
lakini kwa kifupi tanzania wamepata operating profit ya $80m
ukitoa hela ya ku service debt, wanatakiwa walipe angalau min $10m
 
Dear Semilong,

Asante kwa hiyo taarifa. Naomba pia utusaidie kujua kiwango cha mapato cha VODACOM Tanzania walichopata kwa mwaka wao wa fedha wa 2007/2008 na 2008/2009. Tutashukuru sana kwa hizo taarifa.
 
WTZ tuache mawazo ya kutaka hizi kampuni zilipe kodi. Hawa jamaa wanatoa ajira kwa watu kibao, ambao wanalipa kodi. Hii corporate tax ni dhulma kwa wafanyabiashara. Tuwe na mawazo ya kutafuta resources zengine ambazo serikali inaweza ikawa inapata mapato; na si kuongeza kodi. Kumbuka, uchumi mzuri wa nchi ni kuwa na lower taxes, low inflation and low unemployment.
 
Tangu lini Rostam analipa kodi? yeye anatoa michango vyamani (CCM na upinzani), hiyo ndiyo Tz wazee.
 
WTZ tuache mawazo ya kutaka hizi kampuni zilipe kodi. Hawa jamaa wanatoa ajira kwa watu kibao, ambao wanalipa kodi. Hii corporate tax ni dhulma kwa wafanyabiashara. Tuwe na mawazo ya kutafuta resources zengine ambazo serikali inaweza ikawa inapata mapato; na si kuongeza kodi. Kumbuka, uchumi mzuri wa nchi ni kuwa na lower taxes, low inflation and low unemployment.

hii siyo kweli mbona wafanyabiashara wadogo walilipa? mbona wafanyakazi hata mwenye mshahara 200k analipa kodi ya mapato? yaani mtu mwenye duka alipe na mwenye kampuni asilipe!
 
hii siyo kweli mbona wafanyabiashara wadogo walilipa? mbona wafanyakazi hata mwenye mshahara 200k analipa kodi ya mapato? yaani mtu mwenye duka alipe na mwenye kampuni asilipe!

Kama nilivyosema mwanzo, wafanyakazi wao (VodaCom) pia wanalipa hiyo income tax. MTZ ananufaika zaidi kama hizi kampuni hazilipi corporate tax; kwa sababbu, gharama za vitu zinapungua. Kama serikali haitaki kusamehe hizi kodi, basi mzigo wote unakwenda kwa WTZ kwa sababu wao ndiyo watakaonunua vitu vitakapokua ghali. Higher taxes is not a solution for TZ economy.
 
WTZ tuache mawazo ya kutaka hizi kampuni zilipe kodi. Hawa jamaa wanatoa ajira kwa watu kibao, ambao wanalipa kodi. Hii corporate tax ni dhulma kwa wafanyabiashara. Tuwe na mawazo ya kutafuta resources zengine ambazo serikali inaweza ikawa inapata mapato; na si kuongeza kodi. Kumbuka, uchumi mzuri wa nchi ni kuwa na lower taxes, low inflation and low unemployment.

Nenda kazungumze haya maneno japan au ulaya kama hujafungwa.
kampuni ngapi bwana zinalipa kodi? mbona TBL hujawahi sikia wanalalamikia kodi? Sema tu Vodacom ni kampuni ya rostam aziz ambaye ni mjumbe wa NEC-CCM na tapeli.
 
hata mie niliwahi kusikia kuwa hawalipi kodi bado wapo kwenye msamaha, nafikiri hata mbunge mmoja bungeni july alisema hili swala, simkumbuki ni nani. Ila hii ni aibu kinoma, TZ imegeuzwa kisiwa cha wapumbavu, hawa wageni wanakuja hapa with litte or just nothing halafu wavuna balaa. Hivi kweli tunaserikali sisi?

kweli TZ bongolala. Ila siamini kuwa ni bongo lala, kuna washenzi wanamaslahi hapo.

Mie siku nifikika mbinguni ntaomba Mungu asinihukumu mpaka nione hii serikali ya wajinga wanachomwa moto.
 
Back
Top Bottom