Recent content by Jovin kalesi

  1. J

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa Awamu ya Nne na ya mwisho wanafunzi waliopangiwa mikopo

    Namshukuru mungu nimepata..... Ahsanten wana JF mmechangia kiasi Kikubwa kutupa moyo... God bless you.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Wengine bado tunakosa, form zetu ziko vizuri na fani ni priority. Why only us. Wajaribu kutoa japo kwa asilimia chache...kama pesa haitoshelezi, kuliko kuachwa kabisa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi

    Vumilia mkuu.... Mungu yu pamoja nasi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania wanavyuo mnalipi la kumwambi Mh Magufuli kuhusu mchakato mzima wa mambo yetu

    Kwa kweli hata mimi, namuomba ajaribu kuliangalia tena kwa wale waliofaulu kujiunga na vyuo wapate mkopo wote. Coz mwenye sifa ni yule aliyepata chuo. Au mwenye sifa anakuaje...? Labda tufahamishane.
  5. J

    JamiiForums Tanzania wanafunzi wakataliwa chuo kikuu dodoma

    Hahahaaa, hebu acheni hizo. Inasikitisha kiukweli...kama walikuwa na muda wao wa kuripoti wangetaarifiwa... Nani tumlaumu? NACTE au UDOM....
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uelewa changia hapa

    Electrical is best...my friend.
  7. J

    JamiiForums Tanzania HESLB: kwa waliokosa mkopo

    Ok... Nitafanya kuagiza..
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria 4th lot

    Ok...nashukuru ndugu....
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria 4th lot

    Wajitahidi angalau kuweka mambo sawa. Maana hali sio nzuri....
  10. J

    JamiiForums Tanzania HESLB: kwa waliokosa mkopo

    Je, ukimuagiza mtu, watakubali akuangalizie taarifa zako? Maana wengine tupo mbali sana na Dar...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria 4th lot

    Nashukuru, ngoja nivumilie..
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria 4th lot

    Duh...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria 4th lot

    Mim ni mmoja kati ya waliokosa lots zote 3, nimechaguliwa UDOM- BEDA je watatoa 4th lot? Na kama watatoa itachukua muda gani? Help please..
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tumekosa mkopo hadi Awamu ya 3

    Jaman hata mim pia ni mmoja wapo wa wakosa mkopo lots zote, mliokwenda hselb mtuambie kuna matumain huko?
Back
Top Bottom