Jana ilikua siku yangu ya tatu Kupiga Pombe, mara mbili zilizopita nilijaribu nyumbani...
Nikatoka na mshkaji, mda wa kurudi nikawakuta jamaa flani kijiweni ndio nikaanza kuwachokoza (mashuhuda wanadai nilikua nawapiga piga mateke huku nikiwaambi nina mda sijapiga mtu), niliyekua naye anasema...
Ifike hatua hata kutubu kuwe na mipaka, haiwezekani wewe ni kutesa na kuua watu miaka na miaka, utubu tuu ghafla tena baada ya kuona huna cha kupoteza halafu usamehewe zambi zotee?
Mimi kwa kweli kuna watu Ukiniambia chaugua,
1. Wote mfutiwe dhambi au
2. Kila yule ahukumiwe kwa dhambi zake...
Hio itilima ishajifia,
Asilimia ya viumbe unavyoviona huko sio ukionavyo, ni vibwengo,
Hio wilaya idadi ya wachawi na fisi inazidi iadadi ya watu wanaoishi..
Lucas Mwashambwa naomba unijibu tuu hapa tuu inatosha...
Kati ya
1. Familia yako
2. CCM yako
3. Mungu(hapa hamna neno yako sbb sina uhakika)
4. Wazazi wako..
5. Utu wako..
Kipi ni cha kwanza?, yaanu kwenye maisha yako nini kikiondoka/unaweza kukiondoa hapo bila shinda?
NB : kimya pia...
Week iliyopita nilikua na msala mmoja ulinitesa mno, ila eti leo nipo free..
Anyway hivi nyie wenzangu Mnakulaje mademu kirahisi bila Kuogopa ngwengwe wala Mimba zisizo na mpango..
Sorry Boss sikujibu sababu nilikua sijalinunua,
Nimeshalinunua la lita 340.
Hizi ndio specifications zake
Power Input: 240W.
Rated Current: 1.4A.
Voltage: 220-240V.
Daily Power Consumption: 1.5kwh/24h, MAX.
Hua niki set temperature ya kawaida linatumia 0.9-1.0kwh/24h.
Nimezoea kununua bidhaa, baada ya hapo nakusanya shop flani hivi then nikimaliza nachukua Usafiri napeleka dukani.
Sasa kuanzi J3 mpk J5 kuna manunuzi nitafanya, Mzigo utakua mkubwa kdg siwezi kujaza pale ofisini ni kero lakini pia huu unatakiwa uende Mkoani sio hapa Dar,
Hivyo nilikua nataka...
Wadau nahitaji Showcase/display fridge ya lita 300-380, kwa ajili ya biashara..
Nikinyoosha sana mkono Naishia 1.5M, kulingana na Brand na ujazo.
Brands ninazoziwaza ni kati ya
Midea
Haier
Hisense
Westpoint
Bruhm au
Von,
Ninacho omba kujua kwa wazoefu, kuna za mtumba Nyingi tu kama LG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.