Recent content by joti

  1. J

    Yesu na Wanafunzi wake

    kama huna cha kuandika acha:A S 100:
  2. J

    Yu wapi Sitta?

    Mbona mzee wa standard n speed hasikiki kwenye hili sakata la waziri mkuu na mawaziri wenzie
  3. J

    Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

    membe alibaniwa na lowassa kwenye baraza la kwanza la mawaziri akaishiwa kupewa unaibu waziri ugomvi ukaanzia hapo
  4. J

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    jamani kuwa waziri mkuu lazima uwe katika wakati umeshawahi kuwa hata naibu waziri pili lazima uwe mbunge wa jimbo so pinda ana sifa zote mbili ila prof ana moja sooo tibaijuka hawezi kuwa waziri mkuu k kwa wakati huu haiwezekani .....
  5. J

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    hata prof hawezi kuwa waziri mkuu coz hajawahi kuwa waziri sifa za kuwa waziri mkuu lazima uwe hata naibu huko nyuma na pili uwe umechaguliwa na wananchi wa jimbo fulani pinda sifa zote anazo pro anayo moja tu pole kaka angalia kabla ya kupost kama hujui kaa kimya.......
  6. J

    Nini tufanye kama JK atamteua e lowassa kuwa waziri mkuu?

    hahahah tutaproof udanganyika wetu maaana cndo tuko hivyo maana baba ana roho mbaya yule katuingiza watanzania wote kwenye gharama ambayo faida yote imeiingia mfukoni kwake :smile-big:
Back
Top Bottom