Recent content by JOSPIDE MAJABA

  1. JOSPIDE MAJABA

    Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    BINAFSI SIONI TATIZO LA MTU KUWA NA LAINI ZAIDI YA MOJA CHAMSINGI LAINI ZOTE AWE AMEZISAJILI KWA MAJINA YAKE NA VITAMBULISHO VYAKE. WATU WANA LAINI TOFAUTI KWA MATUMIZI TOFAUTI.KWA MFANO,MTU ANAKUWA NA LAINI KWA SHUGHULI KAMA ZA MPESA,AIRTEL MONEY,TIGO PESA AU SHUGHULI ZA KIKAZI TU,MFANO VYUONI...
  2. JOSPIDE MAJABA

    HESLB loan application

    Utaratibu umetolewa,kama uko KARIBU NA wilaya ulikozaliwa VYETI vipeleke ofisi za wakuu wa wilaya vitahakikiwa na wshusika wa vizazi NA vifo ila kama uko mbali au uko DSM jisajili kwenye mtandao wa RITA.Utaapload cheti hicho NA pay in slip ya sh.3000 ambayo italipiwa ktk bank ya NMB.KUWENI SHARP...
  3. JOSPIDE MAJABA

    Tunatoa huduma za FFARS na TRA

    Kwa wahitaji wa Huduma ya mtandao wa FFARS na TRA katika shughuli za kifedha kwa SHULE za msingi na sekondari,tunaweza kuwasiliana kwa namba 0620191802 kwa Huduma ya kimtandao muda wote. Usikwame kujihudumia mwenyewe kwa sababu ya mtandao.Tuwasiliane ili kuondoa changamoto za hapa na pale...
  4. JOSPIDE MAJABA

    HESLB loan application

    Kwa vijana wanaohitaji kuapply mikopo mfumo ulishafunguliwa na Bodi ya mikopo. Kama unashindwa kuapply kwenye mtandao tunaweza kuwasiliana ili kusaidiana katika kutuma maombi online.Ukipata changamoto nishtue kwa NAMBA 0620191802 pia kwa whatsap.Kazi kwako NA Huduma ya internet muda wote na saa...
  5. JOSPIDE MAJABA

    Naomba msaada wa kupanga matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne katika madaraja(divisions)

    ILI UPATE DIVISIONS FANYA YAFUATAYO: POINTS: A= 1 B=2 C= 3 D=4 F=5 ZIDISHA IDADI YA KILA DARAJA KADRI MWANAFUNZI ATAKAVYOKUWA AMEPATA KWA THAMANI YA DARAJA HUSIKA KAMA ZILIVYO HAPO JUU NA KUPATA JUMLA YAKE KWA MASOMO 7 TU ALIYOFANYA VIZURI ZAIDI. BAADA YA KUPATA JUMLA ZINGATIA MADARAJA YA...
  6. JOSPIDE MAJABA

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko jiji la mbeya (mwalimu wa sekondari).nahitaji kubadilishana na mwalimu wa sekondari aliyeko manispaa ya kinondoni ili yeye aje jiji la mbeya nami niende manispaa ya kinondoni. Simu: 0756082356/0786088394/0763424492
  7. JOSPIDE MAJABA

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    WADAU ZA MAJUKUMU.NAOMBA KAMA KUNA MWALIMU WA SEKONDARI KATIKA MANISPAA YA KINONDONI ANAHITAJI KUBADILISHANA ENEO LA KAZI KWENDA JIJI LA MBEYA MWAKA HUU TUWASILIANE TAFADHALI. SIMU: 0756082356 0786088394 0763424492 e-MAIL: j2000gm@yahoo.com SHUKRANI.
  8. JOSPIDE MAJABA

    Mwaka huu 2014 nafasi za ualimu bado?

    Piga simu 0756082356 au 0786088394 upate maelekezo.
  9. JOSPIDE MAJABA

    Pata nafasi ya kusoma chuo haraka, bila usumbufu na kwa gharama nafuu sana

    Habari za majukumu ndugu zangu,EID MUBARAKA Iwapo una mwanao au ndugu yako amehitimu kidato cha nne au cha sita kwa ufaulu wowote ule na ungependa ajiunge na kozi mbalimbali za ngazi ya cheti au diploma, TAFADHALI nafasi ziko wazi.PIGA SIMU NO. 0756082356,0786088394 ili upewe maelekezo kujiunga...
  10. JOSPIDE MAJABA

    Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Kwanza hongereni kupata post zilizosubiriwa kwa hamu kubwa licha ya mizengwe za hapa na pale lakini hatimaye yametimia. Naomba kwa mwalimu yeyote ambaye amepangwa mkoa wa KAGERA, Manispaa ya Bukoba(BUKOBA MJINI) angehitaji kubadilishana na mwalimu kutoka JIJI LA MBEYA tafadhali tuwasiliane...
  11. JOSPIDE MAJABA

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwanza hongereni kupata post zilizosubiriwa kwa hamu kubwa licha ya mizengwe za hapa na pale lakini hatimaye yametimia. Naomba kwa mwalimu yeyote ambaye amepangwa mkoa wa KAGERA, Manispaa ya Bukoba(BUKOBA MJINI) angehitaji kubadilishana na mwalimu kutoka JIJI LA MBEYA tafadhali tuwasiliane...
  12. JOSPIDE MAJABA

    Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Kwa wale walimu wote waliokuwa wanasubiria ajira mpya 2013/2014 tayari majina yako kwenye web ya TAMISEMI.Kajiachie mwenyewe uangalie mkoa na wilaya ulikopangwa kufanya kazi. Samahani tena kwa usumbufu, naomba kupata mawasiliano na walimu wafuatao: 1.WILLIAM JOHN ( TEKU) kutoka Mbeya ambaye...
  13. JOSPIDE MAJABA

    Hudumia walimu ili watoe elimu bora.

    Walimu wakipata huduma bora hata utendaji kazi wao lazima uwe bora.Huduma kwao ni kuanzia mazingira ya kufundishia na kujifunzia pamoja na maslahi yao.
Back
Top Bottom