Recent content by josephthadey

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ajali: Magari yagongana uso kwa uso Iringa na kuua

    Dah hz ajali zitaisha lini?? haipiti mwezi bila basi kuua
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ulanga iko wapi?

    Ndio nshawahi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ulanga iko wapi?

    Hapa ukifuata ushauri wa wengine unaweza kujikuta uko Congo Ulanga na Mwanza mnafika sawa??
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kiushauri

    Wana JF naombeni ushauri wenu..Meno yangu yameoza toka nikiwa mdogo sasa nina miaka 21 nachukia sana rangi ya meno yangu kwani sina uhuru ninapokuwa katika maongezi na watu nifanye nini yarudi kuwa meupe kama zamani?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    kufa ni kufa kujinyonga mbwembwe
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sugar ni kiingereza kwa kiswahili ni sukari
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa Arusha stend ya mkoa

    Arusha hii kila siku matatizo ila mgambo nao wamezidi
  8. J

    JamiiForums Tanzania mfungwa mjanja

    Hahahah jamaa ametisha
Back
Top Bottom