Recent content by JosephMagige

  1. JosephMagige

    Msaada; maumivu katika korodani

    Habari member wenzangu wa jf mm ni kijana wa miaka 21 ningependa kupata msaada wa tatizo hili linalonisumbua kwa takribani mwaka 1 sasa la kuhisi maumivu makali sana katika korodani zangu hasa mara nyingi uume unapokuwa umesimama kwa muda mrefu au napokuwa na dem gheto baada ya kufanya romance...
  2. JosephMagige

    Naomba kuifahamu dawa ya ngiri bila upasuaji

    Unaweza kuikumbuka hiyo dawa mkuu
  3. JosephMagige

    Naomba kuifahamu dawa ya ngiri bila upasuaji

    Habari zenu wana-Jf Ningependa kupata msaada kwa yeyote anaefahamu dawa ya asili inayoweza kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ngiri bila ya upasuaji
  4. JosephMagige

    Msaada kuhusu course ya secretarial studies!

    Matokeo yangu Nina div 3 point 23 Civ-C Hist-D Geo-D Kisw-B Eng-C Chem-D Bio-C Lit in english- D B/maths F
  5. JosephMagige

    Msaada kuhusu course ya secretarial studies!

    Habari wana-JF nimehitimu kidato cha 4 mwaka jana na nimepangiwa course ya secretarial studies ningependa kufahamishwa kwa wanaoielewa zaidi fursa zake katika kuajiriwa na kujiajiri n.k ntashukuru nikipata msaada wenu wa mawazo na ushauri wowote kwangu, ahsanteni!
Back
Top Bottom