Recent content by josephjacka

  1. J

    Nimeamua kwenda Arusha kutafuta maisha

    Mjerumani ukionyesha ushilikiano kwahuyo mwanaharakati zamaisha nitakufananisha na askari aliye kwiva kijesh anayejua wajibu wake wkusaidiana vitani Nakurispect kwa hilo.
  2. J

    Graduate miaka 26 anaweza apply vikosi vya ulinzi?

    Hata mimi cjamuelewa hebu Rui tunaomba ufafanuzi kidogo tafadhali
  3. J

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Umeeleza vizuri ila ukitoa na vifungu vyasheria hapo utakuwa umeweka muhuri wamaneno yako mheshimiwa.
  4. J

    Wanaopenda kujua kuhusu Kujiunga na JWTZ na Vikosi Vingine vya Usalama

    Kwa maelezo hayo nimeridhika.Lakini wakina sisi WAGAMBO vipi Kuhusu maoni yenu wadau tutawezaje kupata ajira tanapa au migodini coz JKT ndio tulishakosa na umri umesoga.
Back
Top Bottom