Recent content by josephfelician

  1. josephfelician

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuitumia seapiano 912! Jamani ina muziki mzuri?

    Alibaba mhuni.hio ni picha ukiagiza.ni ndogo. Hiyo naijua
  2. josephfelician

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuitumia seapiano 912! Jamani ina muziki mzuri?

    Elewa mada Nimeuliza cover nzuri katika matumizi.
  3. josephfelician

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuitumia seapiano 912! Jamani ina muziki mzuri?

    Nisaidien kujua. Kati ya cover za cm. Transparent Na NILLKIN cover ipi nzuuri
  4. josephfelician

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuitumia seapiano 912! Jamani ina muziki mzuri?

    Ndg zangu ni cover ipi nzuri ya cm.kati ya transparent. Na NILKIN
  5. josephfelician

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    huwezi kuishi bila uongo.uongo ni mafanikio pia. mfano unahitaji kazi kwenye kampun.watakapohitaji maelezo yako ya uaminisho.kuhusu mda gani upo ulaiani bila kazi na umewahi kujipa uzoefu kiasi gani.hapo ndo lugha inapangwa. pia.hawa wanawake.na wao tayari wanahitaji ukweli mtupu.wakati...
  6. josephfelician

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    sasa kama mume wake hajiwezi hana nguvu.acha mama aipeleke sehemu ikatolewe muwasho
  7. josephfelician

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    mmmhh
  8. josephfelician

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuitumia seapiano 912! Jamani ina muziki mzuri?

    vipi mziki wake umetulia au.
  9. josephfelician

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuitumia seapiano 912! Jamani ina muziki mzuri?

    vip mziki wake umetulia haukeri mkuu
  10. josephfelician

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuitumia seapiano 912! Jamani ina muziki mzuri?

    mwanza mjini.bei 350000
  11. josephfelician

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuitumia seapiano 912! Jamani ina muziki mzuri?

    nauliza ambae ameshatumia.ubora
  12. josephfelician

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuitumia seapiano 912! Jamani ina muziki mzuri?

    Nimetumia home theartee aina nyingi na zenye uwezo mkubwa, zenye mziki mkubwa na nimeuza sana. Leo nimepita sehemu nimekuta redio ya saboofer kampuni ya seapiano 912, toleo jipya ina sipika ndefu kama za home thearter. Pia spika kubwa ya bass ni nch10, jamani hiyo redio ina mziki mzuuri...
Back
Top Bottom