Recent content by JOSEPH SAKI

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwako Mtangazaji wa Kike Star TV:Je, Hayo Maneno uyapendayo Umechanjiwa? Tafuta Mengine!

    Unakosea kaka kumrekebisha mtu ni kumsaidia awe bora zaidi ya awali!! Kuna mifano ya watangazaji wengi ambao wanajitahidi kutumia lugha vutivu mfano Marina Hassan wa TBC one!! Au kajaribu kutupia jicho watangazaji wa CITIZEN TV utapenda jinsi watumiavyo lugha yetu pendwa..
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tears of thoughts!

    We saw Mwalimu's socialistic ideas as rubbish!! We embraced capitalism in which fewer of us own the wealth that God our father as gifted us with. It is in this capitalism that now one Tanzanian own 8 hecras of land while there are many others own nothing!!! Capitalism!!!! One swims in the...
  3. J

    JamiiForums Tanzania ushauri wa bure;kama unandoto hii usiende vyuo hivi

    Hivi wewe huwa hauna ufahamu au ni punguani wa kuzaliwa? What so special about shule ulizosomea anyway? Nimekuwa nikikuangalia sana mda sasa na comments zako za ajabu...khaaa wewe sio mjinga ni mpuuzi --------!!! Mods hivi huyu nae ni JF senior expert member!!!!?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya kufundisha (PCB)

    Upo wapi ndugu?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya Sekondari za wasichana O'level

    Kaka umechelewa sana anyway nenda msimbazi centre faster labda waweza saidiwa.Ninavyofahamu shule tajwa huwa mapema mno zinatoa fomu za kujiunga...good luck.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tangu nilivyoijua Biology, nilihisi masomo mengine yote ni masomo ya Arts

    Bila shaka huyo ni Neema Issa alimaliza Kisutu na advance Jangwani!!!!!!!
  7. J

    JamiiForums Tanzania msaada

    Mimi sidhani kama wewe umerukwa na akili...anyway swalilo ilibidi utupie kule jukwaa la lugha!!! Sema kwa sababu hili ni jukwaa la elimu basi tutambue kuwa hili ni jukwaa mama!! Ngamia ni neno lenye maana mbili; kwanza ngamia ni mnyama anayeishi jangwani na pia ngamia ni kamba kubwa ambayo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hello

    Karibu JF hasa jukwaa la elimu
  9. J

    JamiiForums Tanzania hello!

    Warmly welcome dude
  10. J

    JamiiForums Tanzania Siasa na chuo: ni sawa?

    Rekebisha kichwa hapo juu
  11. J

    JamiiForums Tanzania b0red,b0red, b0re, t00 much b0red.

    Many likes to you brother big up
  12. J

    JamiiForums Tanzania b0red,b0red, b0re, t00 much b0red.

    The truth: Ni kweli tabia kama hizi za kuanzisha threads nyingi zinazohusu jambo moja imekuwa sugu JF asa jukwaa hili. Hasara yake: Threads nyingine nyingi ambazo zina mambo mengi mazuri pia zinashindwa jadiliwa. Faida: Ukweli ni kuwa threads hizo zihusuzo jambo moja zinatofautiana katika...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Heslb vifo

    La kuchukulia poa lipi wewe? Umeandika vitu so serious afu unataka tukae kimya!!! Tatizo mnadhani hamfahamiki huku kuna watu wanawafahamu zaidi ya unavyofikiria!! Ni kweli humu we dare to take openly but even serious lies as if hivyo vifo vimetokea kweli!!? Narudia tena futa thread hii na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Heslb vifo

    Naomba futa uzi huu kabla sijakuumbua mwongo mkubwa wewe. Hivi umekuwa na chuki kiasi hiki mpaka unatunga uongo...wewe ni mchonganishi na hufai kuwepo humu aya futa uzi huu haraka na uombe radhi kwa kuupotosha umma.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Heslb vifo

    Taja majina kuna mwandishi anataka kufatilia taarifa hiyo,pia anaomba umtajie shule ulomaliza wewe na jinalo unaweza ukani PM Na mawasiliano yake
Back
Top Bottom