basi ilibidi tuone wakimtaja slaa ama mbatia kidogo tungesikia wakimtaja pinda ,membe ,au wassira tungejua watanzania wanawahitaji hao. Lakini Kama anatajwa lowassa kwa kiasi kikubwa hata na Mimi ambaye sijaonana nawe wala kula chake basi huyo ni jembe
ukizoea kuibiwa hata anayekusaidia utahisi anakuibia,kuwa makini kutambua nia thabiti,usimpake mtu ubaya kama ajatenda baya.ACHA PADRI ATENDE KAZI YA BWANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.