Recent content by Joseph Mutahaba

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wananunua dada poa?

    Kila mtu anatoa mawazo yake. Na kila mtu ana haki ya kusikilizwa. Endelea kusoma maoni unaweza kuliona ambayo kwako ni ya msingi. Lakini pia jitahidi kuepuka "Dogmatism" karibu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wananunua dada poa?

    Wadada poa Wanacheck population. Hawana haja ya kuzaa kama mke home au demu wa mtaani. mwanamume atakwenda pale kukatia kiu. Hetegemei kusikia "Nina mimba yako!" Pili idadi ya Wanawake ni karibu mara dufu ya idadi ya Wanaume. Kama kila mwanamume ataishi na mke wake tu, wadadapoa ni binadamu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hili ndio Gauni la Million 400 alilovaa Mchumba wa Haji Manara

    Shillingi 400ml siyo pesa ndogo. Tumeliwa hapo. Huo ni udamisi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

    Thubutu! Hata kama kufa hakujui makaburi hayaoni
Back
Top Bottom