Recent content by Joseph Mdachi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

    Ni vizuri ukafiri na kupima maneno Yako kabla hata hujayasema ili uendelee kubaki na heshima uliyonayo kama unayo.
  2. J

    JamiiForums Tanzania 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝗠𝘂𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗮𝗽𝗽 𝘆𝗮 𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗰𝗮𝗹𝗹 𝗸𝘄𝗮 𝗪𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗮𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱

    Google walipaswa kupata maoni kwanza Kwa watumiaji wa hizo simu kabla hawajafanya maboresho yao. Mimi binafsi sijaupenda huu mfumo mpya,lakini Kwa kuwa wamebadilisha wao,there is no way.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua gharama ya ndege binafsi iliyomtoa Lissu Dodoma mpaka Nairobi baada ya kushambuliwa na risasi ili tujue ukweli

    Punguza hasira,anayestahili kuulizwa ili aseme ukweli wa ayasemayo Prof.Tibaijuka kwa Sasa hayupo tena duniani,ni marehemu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

    Duuh! Huu mtego wa Zitto Kabwe Kwa Palamagamba Kabudi ni balaaa tupu as the same as Roman Catholic to the Government.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Heche adai kua Mwanza ingekua kama Shenzhen Kama nchi ingekua na viongozi wenye maono!

    Hongera sana kwako Makamu M/kiti CHADEMA Taifa,ndg John Heche. Mtazamo na maono Yako Kwa Nchi yetu ni mzuri sana na hasa kama Viongozi waliopo madarakani wangekuwa na fikra kama zako,hii Nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tuendelee kumuomba Mungu huku tukipambana huenda siku Moja Mungu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Fundi Wiring umeme wa Nyumbani

    Fundi,hiyo ni aina Gani ya wiring ?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa Ibrahim aliyetaka kumchinja ni Isaka au Ishmael? Hii itawasaidia Chadema wanaomshutumu Shehe wa kwa Mwamposa!

    Tatizo sio kuwasaidia CHADEMA,issue ya msingi hapa ni maneno ya kisiasa yaliyotumika kanisani yenye viashiria vya kuchanganya dini na siasa.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kukosekana akidi

    Wasilisho lako Lina udhaifu mkubwa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Gwajima kazima kiki ya Tundu Lissu

    Wewe sio sehemu ya hao Watanzania unaowahurumia ?.Nafikiri hujatafakari vizuri kabla hujawasilisha andiko lako,other ways wewe ni Mmoja wa waofurahia kuona wengine wanapata matatizo as if wewe ni mtakatifu ktk Dunia hii.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Lissu Anapokuwa Mwanasheria Anayedharau Sheria, Wingi wa Mawakili Hautamsaidia

    Lissu ni mwanasheria anayeijua vizuri Sheria kuliko ufahamu wako wewe. Anajua na anasababu ya kwanini alisema hicho unachokidai wewe kuwa ni kosa. Next time tafakari kwanza kabla hujaja na andiko lako.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini ghafla tu CHADEMA wanakiogopa sana na kukichukia chama cha ukombozi wa umma (Chaumma)?

    Uthibitisho wa kwamba CHADEMA inakiogopa chauma ni upi ? Ni Muhimu uwe unakuja na maelezo ya kujitosheleza ili upate kujibiwa vizuri.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Sababu ya CHADEMA kuendelea na Tone tone

    Wonderfully,hongera sana Mh.John Heche na timu Yako yote Kwa kuifanya CHADEMA ipendeke machoni pa Watanzania walio wengi.
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Hii hapa ni Kamati Kuu ya CHADEMA inayokutana Makao Makuu ya Chama Mikocheni

    Wewe unajua kamati kuu wanapaswa kuwa wangapi ?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maskini! Lissu alengwalengwa na machozi baadi ya kusikia maelfu ya viongozi wa chadema wamkimbia chama

    Fikra zako ni finyu sana.Unapata wapi ujasiri wa kuandika uongo wa wazi kiasi hiki ?.Pole sana,hope hujui ulitendalo.
  15. J

    JamiiForums Tanzania KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

    Weka uthibitisho ili watu wakuamini,other ways hoja Yako haitakuwa na nguvu.
Back
Top Bottom