Recent content by Joseph Matiko Matare

  1. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    I am also sorry to tolerate your awkward English!
  2. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    probably you don't know the language used . stop there instead of wasting time.
  3. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    kweli nawakumbuka wahadhiri wangu wakati huo prof shivji, prof. Campbell, prof. Bavu,,prof .Wamba dia Wamba, Prf. Ngware ,Dr.Harrison Mwakyembe ambao walikuwa wakichambua issues mpaka state inatikisika
  4. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    Your guestion cannot be accurately answered by any intellectual person in the world! There are millions of Tanzanians who would be like Nyerere but they are not known because they are just ordinary men who cannot be compared with Nyerere who was a leader of tanzania for a number of years. You...
  5. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    samahani nieleweshe vizuri kufanana katika nini kiakili, kisiasa kivitendo, kifalsafa, kizalendo au nini? KWELI KABISA ! HUYO NDIYE UNACHATI NAYE YUKO HADI LEO
  6. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    samahani nieleweshe vizuri kufanana katika nini kiakili, kisiasa kivitendo, kifalsafa, kizalendo au nini?
  7. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    kama umeshindwa kuona jinsi DNA ilitumika kutambua majeruhi wa ajali ya Morogoro kwa kutumia watoto au wazazi. uwelewa wako ni mdogo sana huwezi kunielewa.Tufunge mjadala .
  8. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    sijajibu kwa sababu sishindii kwenye mitandao ninajibu ninapopata muda wa ziada na pia ninajibu hoja sio mashambulizi dhidi yangu
  9. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    kama ni hao unaowaheshimu? ugomvi wangu unatoka wapi? nlishaandika juu ya wote hao juu ya mchango wao kwa jamii zao isipokuwa wa mwisho ambaye sijawahi kumsikia
  10. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    SAWA! mimi kama mtumishi wa Mungu ninaelewa kwamba Mungu pekee ndiye anayetakasa na ambaye anaweza kutamka mtu ni mtakatifu. mwanadamu hawezi kumtamka mwingine mtakatifu kwa sababu utakatifu ni swala la kiroho na mungu pekee ndiye anajua mambo ya rohoni mwa mtu. sisi binadamu tunachoweza kuelewa...
  11. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    HONGERA KWA KUFIKISHA UJUMBE
  12. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    Sorry! sikumaliza. Anayejifanya malaika muulize mwenyewe ana majibu.mimi ninabaki kwenye mada yangu
  13. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    tatizo ni kutoelewa unachosoma. Kama chapisho hilo linamkosoa Nyerere huna maana afadhali utangulie kulazwa mirembe. ndilo tatizo la elimu ya siku hizi haitoi wasomi wenye upembuzi yakinifu. wakati mwingine ni kujiabisha ukirukia mada ambayo wengine wameilewa ila wewe tu!
  14. Joseph Matiko Matare

    Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

    siyo DNA YA kukariri O' Level ni ya PH.D utakimbia mjadala.
Back
Top Bottom