Recent content by Joseph Daniel

  1. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Aliyemtisha Nape kwa bastola sio Polisi. Uchunguzi wa Lissu kushambuliwa unaendelea, tutatoa taarifa

    You don't know the difference between smart and puppet
  2. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Is Atheism Satanism?

    Tuliza mpira siku ukifa utajua kwamba kila kitu ni uongo mtupu japo ni ukweli uliobadilishwa..... Mungu aandae moto wa kuchoma kiumbe alichokiumba..!??
  3. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Is Atheism Satanism?

    in fact there are many christians and muslim gays than any other beliefs
  4. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania CHADEMA badilikeni Lissu alipaswa kupewa ulinzi

    Cctv za nini...!? Kwani aliyemtolea nape bunduki si nchi nzima tulimuona..!! Halafu ikawaje..!? Tumia akili ww
  5. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Kwanini Serikali imekataa kugharamia matibabu ya Lissu nje ya nchi?

    Sasa alichokosea jamaa kipi..!? Kuhoji kwann hapelekwi nje ya nchi au..!!? Achaga kukurupuka elewa kwanza hakuna anayekataa kuwa ametibiwa ndani..!! Mbona kinana alipelekwa nje ya nchi na magu..!! Sasa hivi bora ukae kimya wananchi wana hasira kali sana.
  6. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa ndege 6 ulipangwa bajeti ipi?

    Bunge ilipitisha kwenye kikao gani...????
  7. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa ndege 6 ulipangwa bajeti ipi?

    HAUJAJIBU SWALI LAKE....... umeongea ushabiki wako wa serikali hii..... jibu swali kwanza...!!!!!
  8. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

    sema wewe mwaka gani
  9. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

    Ndiyo maana nikakwambia hivii Kabla ya kumuita Dangote chizi lazima ujue unaongozwa na mashizi zaidi yake.... huwezi kumwambia utampa mwekezaji kitu bure halafu unamgeuka....... kabla sijamwita mwekezaji aliyepewa eneo la wananchi 5000 chizi nitamwita aliyempa hilo eneo chizi maana ndio tatizo...
  10. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

    Usipende kuleta story za kwenye vijiwe vya kahawa...... T.O wote wanajulikana yeye alisoma Enzi za agano la kale au...???
  11. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Tulinganishe na kutofautisha upinzani wa CHADEMA na ACT dhidi ya serikali ya CCM

    Katika vyama pumba ACT kimoja wapo
  12. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

    DANGOTE sio chizi kuja kutaka gesi bure Tanzania au alale tu aamke aseme kwamba atanunua Coal South Africa....... Sasa ni kazi yako kujua ni nani alimwahidi haya mambo at the first place alipotaka kuwekeza na kwanini wamgeuke leo..... kabla hujamchukia dangote inabidi uwachukie waliofanya nae...
  13. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing

    I hope u lisikiliza malalamiko ya wananchi kwa makonda kuna hospitali hazikuwa na dawa.....
  14. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuacha mapenzi kinyume na maumbile

    Ukiwa na hofu ya Mungu utaacha ujinga huu.
  15. Joseph Daniel

    JamiiForums Tanzania Tanzania ranked as the 8th most beautiful country in the WORLD!

    Hakuna ukweli hapa. Zipo nchi nzuri Saudi duniani.
Back
Top Bottom