Recent content by Josemyinga

  1. Josemyinga

    Madhara ya kutumia sukari nyingi

    Anza kutafuta mbadala wa sukari taratibu alafu utazoea badae
  2. Josemyinga

    Madhara ya kutumia sukari nyingi

    ⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi? Sukari ni chanzo cha nishati mwilini lakini ikizidi huanza kuleta madhara badala ya faida Sukari hupatikana kwenye juice za viwandani, Biskuti, keki,pipi, vyakula vilivyosindikwa,chai au kahawa yenye sukari nyingi ⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi ni...
  3. Josemyinga

    Je wajua sababu kuu zinazochangia magonjwa ya moyo?

    Je wajua sababu kuu zinazochangia magonjwa ya moyo? Asilimia 12%ya vifo nchini vimetokana na magonjwa ya moyo ikiwa ni idadi kubwa sana nchini ya vifo kila mwaka .Hivyo watu wengi wamekuwa wakiweka jitahada kutafuta matibabu ya matatizo haya kwa muda mrefu Wakisukumwa na hofu iliyopo ndani yao...
  4. Josemyinga

    Ulaaji usiofaa hatari kwa afya yako

    Asante sana kwa elimu hii
  5. Josemyinga

    Ulaaji usiofaa hatari kwa afya yako

    Ni kweli kabisa. Watu huanza kujilaumu muda ukiwa ushaenda sanaa
  6. Josemyinga

    Ulaaji usiofaa hatari kwa afya yako

    Je wajua? Ulaaji usiofaa unaweza kuongeza hatari ya matatizo ya moyo 😟 “Chips yai na soda baridi sana” 🔥 Hivi vitu vinaongeza mafuta mabaya (kolesteroli) mwilini na vinaweza kuziba mishipa ya damu. Kwa mujibu wa WHO, kati ya vifo 5, vifo 4 vinahusishwa na magonjwa ya moyo. Mshtuko wa moyo...
  7. Josemyinga

    Ukweli kuhusu crypto currency mtu hawezi kukuambia

    Je unaweza kununua kidogo kidogo mfano nanunua za /20000 nakuja nanunua za 50000 Kama hivo an
  8. Josemyinga

    Paypal Tanzania

    Kumbe kutma ni sio kipengele kupokea ndo tanzania inasumbua
  9. Josemyinga

    Paypal Tanzania

    Hao mawakala wapo wapi
  10. Josemyinga

    Paypal Tanzania

    Jaman mimi nilikuwa nahitaji kulipia game langu wakanipa option ya kulipia kupitia paypal asa nikisoma hiz process zote naona stoboi Asa naomba kama kuna mtu anaweza kunilipia kupitia account yake af mm nmepe cash mkononi
  11. Josemyinga

    Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Nan anaweza kunifungulia account ya paypal Nqtanguliza shukran
Back
Top Bottom