Recent content by joseky

  1. J

    Kozi ya kilimo veta

    Kama inavojieleza hapo juu je kozi ya kilimo veta inafaa usomee short kozi au long kozi mbali na hapo Tena vipi ukiilinganisha na electrical installation ipi Bora Zaid yenye ipo sokoni
  2. J

    Naomba kujua wanauza dawa za ultraomega

    Jamani naomba kujua wanao uza hizo dawa apo tajwa juu na kazi zake
  3. J

    Msaada: Kichwa kuwasha na kuuma kwa ndani

    Habari zenu wana if najua mko poa mnaendelea na kazi zenu salama, Jamani kama maada inavojieleza hapo juu mm naumwa kichwa kwa muda mrefu ila na vumilia tuu kinauma kwa kuwasha ndani afu kama kimebana kuanzia shingoni hadi ndani ya kichwa na mara nyingi nina mawazo ya hatia so nakuwa mtu wa...
  4. J

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Mi naomba kueleweshwa hii inakuwaje kuwaje naitaka hii
  5. J

    Nahitaji mashine ya kukatia mpunga rice reaper machine

    Habarini wapendwa wa jf natumai mko poa kama mada isemavyo hapo juu mimi nahitaji kueleweshwa ni wapi napatA hiyo mashine ya mkononi ya kufyeka mpunga au yule atakae kuwa nayo anahitaji kuiuza nahitaji pia karibuni nyote kwa maoni hapo chini namba zangu ni 0625616179
Back
Top Bottom