Recent content by josef619

  1. josef619

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Viva ukawa
  2. josef619

    JamiiForums Tanzania Maoni: Baadhi ya Watangaza nia wa CCM wapo kibiashara zaidi

    Wasiwasi wangu ni juu ya hawa waliokwisha tangaza nia kupitia chama cha mapinduzi kwani kuna baadhi yao wanajua fika kuwa hawatoweza kupitishwa na chama chao kugombea kiti cha uraisi ila wameweka majina yao kama mtaji pindi muda wa kumchagua mgombea ukifika waweze kuuza kambi zao kwa wagombea...
  3. josef619

    JamiiForums Tanzania Habari wan jf

    mimi naitwa Joseph Andrew kutoka Mwanza na pia ni mwanafunzi kutoka chuo cha sayansi na tiba cha bugando nipo mbele ya jukwaa hili kama mgeni kwa hiyo naombeni mnipokee. Assnteni
  4. josef619

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Hii katiba ni kama kupoteza muda kwani raisi alijua fika kwamba katiba hii haitatungwa ila alifanya hivi kwa makusudi ili afute lawama na kujisafisha ili iionekane kama alikaribu kumbe ni KUTUPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA
Back
Top Bottom