Recent content by jose_wycrief

  1. J

    Meeting for the continuing students who missed the loan from HESLB

    Unajua watu tunashngaza kitu kimoja kwanin usijitokeze ukasema nin unachojua ili hata mwenzio apate taswira ya nn kinaendea kuliko kukaa na kuanza jadir mtu na kuona anachokisema si kitu hayo majibu ulionayo wew yako wapi km wew unaona javikusaidii jenga hoja pia msaidie mwingine
  2. J

    Meeting for the continuing students who missed the loan from HESLB

    Najua umepanic bro afu wabongo sijui hua tukoje ila sikulaum wew nailaum familia ilokulea badal ujadir tatzo unafatilia ujinga huo si ulimbukeni
  3. J

    Meeting for the continuing students who missed the loan from HESLB

    Hahahah hahahaha hahahah haya bhana nazani kwa aliejaribu kunisikiliza kwa makini atakua amepata kitu hapo na kusogea japo hatua moja mbele ila kama utaendelea kujiaminisha hicho unachoamini wew pia ni sawa sikatai siko hap kubishan ila nikujaribu kuonesha taswira ya nini kinaendelea hat kwa...
  4. J

    Meeting for the continuing students who missed the loan from HESLB

    Sikatai hoja yako unachokisema wewe ni sawa pia ni sahihi upande mwingine kabisa lakini majibu ndo hayo yanayotolewa na mimi ni muhanga wa tatizo hilo na niko mwaka wa pili. Shida hapa tujaribu fikiri hebu imagin mmoja kati ya uliombo mkopo akawa hayuko chuoni au akawa tu amekosa sifa za...
  5. J

    Meeting for the continuing students who missed the loan from HESLB

    Majibu ambayo yanatolewa na Heslb ni kwamba wao wanapokea majina kutoka TCU kwa wanafunzi walochaguliwa vyuo na kuwafanyia allocation ya mkopo. Kwa contineous student ndio tumeomba mkopo lakin hatuna admission kweny system na wao hawawez tambua kua wew ni contineous unaonekana ndio uliomba mkopo...
Back
Top Bottom