Recent content by josby

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata fundi wa Nikon Camera

    Nikon camera S9500 inatoa msg Mode dial is not in proper position, nikiwa nawasha.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: HP laptop ina matatizo haya

    Toa details vzur basi mkuu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: HP laptop ina matatizo haya

    Salam wanajamii. nina hp laptop ambayo inachemka sana,nafikiri feni yake imeungua,pia ina tatizo la kuto respond,na kujibonyeza keyboard yenyewe na sometimes kuji lock. Msaada wa kiufundi wa kubadilisha feni na kufix hzo shida zingine tafadhali. Ningependa kujua na makadirio ya gharama zake. Ahsante
  4. J

    JamiiForums Tanzania htc kwa bei safi kabsa.

    Htc desire nipo dar
  5. J

    JamiiForums Tanzania htc kwa bei safi kabsa.

    Bado ipo katika hali nzuri kabisa. Bei 180,000
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: battery original.

    dar! Si unajua kucharge charge sana tena huku unachezea simu,kdogo imepunguza kukaa na charge kwa mda mrefu,simu ni original
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: battery original.

    Wanandugu nitapata wapi battery mpya na original ya blackberry z10 na kwa gharama gani?!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza cocktail yenye kilevi

    Habari wana jamii. Nilikua naomba kwa wale wenye utaalam wa kuandaa cocktail yenye kilevi,msaada vinywaji vya kutumia na hatua za kuandaa. Shukran
  9. J

  10. J

    JamiiForums Tanzania help on this qn about c++ pragramming.

    Wakuu nimekutana na lingine,mwenye idea please. Car passing at bridge tollbooth should pay 500. Mostly they do but sometimes a car goes by without paying. Model this tollbooth with class called toolbooth, the two data items are of tye integer total number of cars,and a type of of double total...
  11. J

    JamiiForums Tanzania help on this qn about c++ pragramming.

    Hapo kwa stefano mbona sioni code sasa?
  12. J

    JamiiForums Tanzania help on this qn about c++ pragramming.

    1.Hio sio assignment 2.Najifunza kwa njia nyingi,sio hizo vdeo tu,hata ninavyoweka hapa nategemea kupata solutions nyingi tofauti,ambazo nikizipitia nazidi kupata uwezo mkubwa wa kufikiri na kujua mambo mengine. Kujifunza ni kuchukua mawazo sehem mbalimbali.
  13. J

    JamiiForums Tanzania help on this qn about c++ pragramming.

    Shukrani!
  14. J

    JamiiForums Tanzania help on this qn about c++ pragramming.

    Nimeshajaribu ndugu,nahitaji na msahada wa wadau naweza pata njia rahisi zaidi,na pia hata google nimeshatumia,lakin katka kusoma napenda kukusanya mawazo sehem mbali mbali.
  15. J

    JamiiForums Tanzania help on this qn about c++ pragramming.

    I need a help on how to write c++ codes that will excute/display 20 lines of stars in a pyramid shape. Thanks in Advance.
Back
Top Bottom