Ndugu zangu, majadiliano ya mgogoro huu, yajadiliwe na viongozi waadilifu,na mimi sijawaona hapa Tz.Viongozi Wengi waliovamia kulisemea jambo hili wanayao kisiasa, wanataka kuipeleka nchi kwenye vita ili kukuza kiu yao kisiasa.Tuwaangalie watu hawa kwa uzuri. Hayupo kiongozi wa juu nchini anaye...
Jamani, Nashukuru kwa fursa kama hizi, Ni mgeni kwa eneo hili,nawasalimu walioanza miaka na wengine pia.
Nasumbuka sana na mifumo inayowaendesha watanzania.
Wanaishi kwa kupindua mambo miguu juu. Maisha haya yanasababishwa na tamaa za fedha. Binafsi naumizwa sana na wanaomwona Dr.Ulimboka kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.