Binafsi origin yng sio mkoa wa mara ila nimeishi hko kwa muda mrefu sana na hasa wilaya ya serenget.Ukweli ni kwmba raia wa hko ni wachapa kazi sana hasa kilimo na ufugaji,nani asiyejua kuwa mkoa mzima na hta kanda ya ziwa wanategemea sana zao la mahindi,ulezi,mtama na mihogo kutoka wilaya ya...