Recent content by Jope tata

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    na mpaka leo wanatafuta mtu wa hio nafasi toka mwaka jana. sasa kama sio magumashi ni nini??
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    michakato yao ni complicated. hata mimi kuna ngo moja niliapply nafasi ya senior partnership officer, baada ya wiki mbili walinipigia simu wakaniambia wataniandalia interview ya oral, kwanza walinitumia form ya maswali ya general questions ni written test, wakanitumia kwenye email, nikafanya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Ngo kama hizo ndio mwisho zinageuka kuwa saccos na kufa kabisa. tumeona ngo kibao zilizoanzishwa na wabongo. mwenyekiti wa shirika akifa na shirika limekufa.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    hao wanaojiita ma HR, Msituzingue kwanza HR haajiri wafanyakazi wao HR wanapewa order kutoka kwa head of department kwamba candidate fulani na fulani wapewe ajira, kwahiyo HR anatengeneza file na mkataba kwa hao wafanyakazi wapya. baada ya wafanyakazi kusign mkataba ndipo hapo file zao zinatumwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    hapana sikuitwa interview world vision, ni ngo nyingine kubwa tu hapo arusha, ipo kati kati ya jiji, tena ni international kabisa. kumbe world vision nao wana ukiritimba kwenye kuajiri??
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Aisee hata mimi naunga mkono mada. aisee katika sehemu ngumu za kuomba kazi na kupata kazi ni NGO za Tanzania. nakumbuka mwaka 2013 niliapply kazi ngo moja huko arusha ni ngo moja kubwa inafahamika sana, sitaki kuitaja jina. nilipofika siku ya interview nilishangaa kuona kuna watu ambao nilikuwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge asingeshindwa jibu(wages vs salary)

    salary ni malipo ya mshahara. mshahara ni malipo kwa mfanyakazi anayopokea kila mwezi kutoka kwa mwajiri wake mpaka pale mkataba utakapofikia ukomo. wages ni malipo ya ujira kwa wafanyakazi aina ya vibarua wanaolipwa kwa siku au kwa masaa. utofauti ndio huo.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

  9. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

    zimebaki siku 4 disemba imalizike. tajiri yupi yuko tayari tumpe ofa nzuri tufunge biashara kwa hizi siku 4 zilizobaki, tunamfanyia usajili wa gari na tunakambidhi chombo. piga simu 0686-168624. wahi ofa yako. iwe mkopo au cash. kuanzia Januari 5 ntakuwa likizo ndefu. kwahiyo wadau wangu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

    M105 ndio bei yake bosi. Januari zinarudi bei ya M 110.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

  12. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

    keshachukua basi jipya. halafu anaongeza jingine mwakani.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

  14. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

  15. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

    sasa tukiongea hadharani hapa itakuwa sio poa maana kila mtu atajua tunafanya biashara ndio maana nakuambia njoo kwenye simu bosi. hii ofa ni ya muda mfupi. kama upo serious njoo tuongee kwenye simu tuonane ofisini nikuonyeshe gari yenyewe uridhike.
Back
Top Bottom