Recent content by jopama

  1. J

    Nafasi za kazi mpya sumatra - 05 july 2014

    mkuu hawa jamaa pia walishawahi kutoa nafasi mwez wa 5, vp una taarifa yoyote km walishaita watu kwa usaili ama la?
  2. J

    Mwenye taarifa kuhusu nafasi za kazi sumatra za mwezi wa 5

    Wadau naomba kuuliza kuhusu nafasi ambazo sumatra walizitoa mwez wa 5 kama walishaita kwa usaili coz nimeona wametoa nafasi nyingine, so pengine labda walishamaliza ile biashara ya mwanzo na wanataka anza biashara nyingine mpya. Sina taarifa zozote wakuu, mwenye kujua tafadhari.
  3. J

    Niliyoyahofia kuhusu utumishi, leo nimepata jibu.

    kaka kuna cku nliona ulipost kuhusu tanroads songea, vp mchakato umekwendaje huko? tutakutana jmosi kigambon mkuu
  4. J

    Mishahara katika Bank kwa Graduates

    Naomba nikumbushwe watu wenye degree wanalipwaje katika Bank especially, NMB, NBC, Bank ya Posta, etc. Najua huu uzi ulishawahi kuwekwa humu ila naomba mnikumbushe tu waungwana.
  5. J

    Updates za Kazi TPDC

    :A S embarassed:kwani shortlist ishafanyika tayari? au ni interview bila hata shortlist, duh hii xaxa kaliiii
  6. J

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    inakuwaje wa2 wanazungumzia ratiba wkt hata shortlist bado? kuwen na subira vijana
Back
Top Bottom