JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Naomba ushauri
naomba ushauri jamani,nina mchumba wangu ananishangaza sana sasa hivi,nikimtumia sms hajibu,halafu hapigi hadi nimpigie na nikimuuliza maswali anakuwa mkali.nifanyeje wapendwa,maana mi najisikia vibaya sana anavyofanya na bado nampenda sana