mkuu n mechanical pekee sio electrical na pia atakua na faida nying maana mechanical engineering inaiingia kila sehemu
please note:
mechanical engineer can work any sector where a machine is available
shuleni huwezi kusoma ukawa competent na kazi za field kinachotakiwa ni general idea then ukipata kazi katika kampuni inayodeal na lift ndio unakomaa kiujuzi zaid katika hilo eneo. na mara nyingi watu wa mechanical engineering ndio wanaofanya hizo kazi za lift
shule gani hiyo mkuu? maana AAA kwa PCM,PCB na PGM overal (Tanzania nzima ukiweka na private school ) sidhahani kama zinavuka 20 kila matokeo yanapotoka
mkuu umenena vyema na katika maelezo yako nimeextract sababu zifuatazo
1. Kukosekana ushindani baina ya wanafunzi
2. Matumizi mabaya ya smartphone kwa wanafunzi
3. Ugumu wa maisha kwa wazazi wa wanafunzi
4. Uhaba/ukosefu wa waalimu wa science
5. Uchakavu wa miundombinu kama...
ni kweli ila muda unaenda sasa asijekua anawaste time maana ukisoma diploma unagain ujuzi na unaweza ingia kazini lakin a -level bado itakubidi uende tena chuo kikuu
mkuu huu unafuu unasema upo angalau kwa sasa kwa maoni yangu nafikiri umetokana na sababu zifuatazo;
1. Kuongezeka kwa vyuo vikuu ambavyo vimepelekea kuzalisha waallimu wa sayansi
Mfano. Mkwawa,duce,udom,mwenge na vingine. Mwanzoni ilikua udsm pekee inazalisha na wengi wanakimbilia private...
Heshma kwenu wakuu
Kwa kipindi kirefu nimefuataiia sana matokeo ya wanafunzi wetu wa A-level hasa wa combination za PCM, PCB na PGM katika shule zetu za serikali na nimegundu yafuatayo
1. Kuna ufaulu hafifu sana kwenye masomo hayo kwa shule zetu za serikali
Unakuta O-level mtu alipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.