Kiufupi huo mjadala wa Doumbia utakuwa hauna mwisho mpaka siku anaondoka Simba kwa sababu zifuatazo:-
1. Ndio mshambuliaji wa kati wa kigeni wa mchovu kuliko wote aliyeletwa na Simba tokea Simba ianzishwe mwaka 1936. Na mbaya zaidi huyo mshambuliaji ameletwa wakati Simba inatimiza miaka 90 huku...
Watu hapa wanajitoa tu ufahamu. Siku zote mambo ya ngono yanapoanza kuanzia kutongozana hata kuzagamuana mwanzoni inakuwa ni siri ya watu wawili na walio karibu nao sana. Baadaye wakishazagamuana zaidi ya mara mbili tatu hivi kila mtu anapoteza umakini anakuwa jasiri aibu inapotea kiasi kama ni...
Yule refa na wasaidizi wake wote ni wa kufungiwa. Huyu jamaa kacheza rafu hatarishi zaidi ya nne kipindi cha kwanza lakini hakupewa kadi hata moja. Kama refa na wasaidizi wake hawakuziona rafu zote nne basi huenda wana matatizo ya macho au uwezo wao wa kutafsiri sheria utakuwa na walakini. Kadi...
Hii dunia ngumu sana. Haihitaji hata "D" moja kujua kuwa huyo mtoto barubaru atakuwa kashamlamba huyo mama vinginevyo labda tu wameshaona huyo mtoto ana dalili za kuwa bwabwa labda wanajaribu kumpa amsha amsha ili waokoe jahazi. Nyege hazina mwenyewe na hasa ukizingatia huyo mtoto yupo kwenye...
Mkuu Kama mkutano kauandaa yeye mwenyewe binafsi atauaihirisha maana nimeona sehemu nyingi sana mitandaoni wamemshauri hivyo. Ila kama huo mkutano umeandaliwa na watu fulani tena kwa shinikizo hana jeuri ya kuuahirisha hata sekunde moja.
Mwisho kama mkutano utafanyika jitahidi uangalie idadi ya...
Hii naweza kuamini maana sio kwa kulazimisha kule acheze kila mechi ili kiwango kipande. Na Mungu si Juma Nature huyo Doumbya mechi 10+ jamaa bado kituko. Mwenzanke Mgunda assist moja na pre assist 1 kwenye mechi moja . Kwa mtindo huu hata ile ya Loemba kuwa kaletwa na Jayrutty kwa hiyo...
Hana stahili ya kushangilia kwa sababu yeye kufunga ni nadra sana. Sana sana huwa anawasaidia wakina Libase kushangilia wakipata magoli. Hata jana kasaidia kushangilia au haukumuona wakati analenga shabaha na wenzake.?
Kwa hiyo aliyemsajili pale Simba alileta mchezaji wa kimataifa wa kupewa muda. Doumbia naye aache masihara. Huyo Doumbia siku nikimuona anacheza halafu Mgunda yupo benchi basi nitajua kweli 10% zipo kwenye usajili kama watu wanavyosema.
Huu ndio ulikuwa mtizamo wangu baada ya mechi ya awali kule Malawi. Leo nimeiona Simba ya tofauti kabisa ambayo imeondoa hayo mapungufu almost karibu yote.
Kilichobaki sasa Simba mnipe ajira kwenye benchi lenu la ufundi.
Doumbya hana tatizo lolote. Wenye matatizo ni benchi la ufundi la Simba. Nadhani benchi la ufundi lote la Simba haliko timamu. Haiwezekani timu kubwa kama Simba ije kukuza kipaji ambacho hakipo kabisa tena cha mchezaji wa kimataifa. Doumbya mpaka sasa amecheza mechi 10+ za mashindano na za...
Tokea Wawa kaondoka Simba haijawahi kupata beki mwenye uwezo wa kupiga pasi mita 20+ kwa usahihi kwa winga au mshambuliaji. Toure alipokuja mwanzoni alikuwa anajitahidi sana kufanya hiyo kazi japo hakuwa sahihi sana kama Wawa. Ila sasa hivi na yeye kaingia kwenye mfumo wa kucheza rede. Sijui...
Mkuu Simba inabadilisha wachezaji na makocha lakini mfumo wao wa uchezaji haubadiliki. Mwaka wa nne sasa back pass na square pass za kutosha timu haisogei mbele kwa haraka. Wamegoma kabisa kubadilika. Timu inacheza kama keep left. Mpira unazunguuka kwa kipa, mabeki wa kati, mabeki wa pembeni na...
Hongera Simba kwa kupata ushindi lakini wachezaji na benchi la ufundi walikuwa na makosa mengi sana kiasi iwapo leo wangekutana na timu nzuri ingewagharimu sana. Kwa mechi ya leo ingekuwa ile Simba ya akina Bocco, Kagere, Chama na wengineo sasa hivi wangekuwa wameshajihahkikishia kusonga mbele...
Huko ulikoenda ndio balaa. Umeruka kojo ukaenda kukanyaga ma.. Hao yeeeees nimetoka kugombana nao juzi. Bando likiisha wanalamba akiba yako bila taarifa ukijashtuka una akiba sifuri. Halafu hawana huduma ya kutojirudia kila nikiwapigia customer care kila mmoja ana jibu na maelezo yake tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.