Recent content by JONATHAN KAMWAVAH'S

  1. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi za ndani anahitajika

    Weeeeeee!yule gaidi
  2. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi za ndani anahitajika

    Msichana wa kazi za ndani anahitajika,awe mwenye maadili anayejuwa nini anafanya,awe mchapakazi,msafi mwenye bidii na kazi,hakuna watoto wadogo ila nimajukumu ya kawaida tu,kwa mawasiliano 0783673996
  3. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Wa tanzania hatuangalii pointi ya msingi tunacho Anglia kachapia wapi yani kukosea kuandika ndowa badala ya ndoa,watu ishakuwa mada,ok baridi nyinyi ndio wasomi Mimi sijasoma,ila usilopoke bila kushirikisha ubongo wako.
  4. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Tuko pamoja ndugu zangu,hilo jina lisiwaumize kichwa hilo ni lazamani na Mimi naitwa Suleiman.
  5. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Ok majibu nikama ifuatavyo mke bado sijampata na kwaushirikianu huu mzuri nikimpata tuu nitawajurisha,na muelewe kutafuta sana si kupata,nikweli kwamba nimeishaandika matangazo lakini bado sijampata.
  6. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Asante kizz wizz
  7. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Jani nimeslmu tarehe 23/9/2013 naitwa Suleiman,Jonathan ni jina la zamani.
  8. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Mmmmh wadau nao!
  9. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Jamani msianze tukanana nawaombeni pls@deepsea,naombeni ushauri na kama upo na unavigezo pls wasiliana nami.
  10. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Nashukuru kwa ushauri wenu mzuri wadau@kin'gasti,kizzy wizzy,kahtaan,flora msoffe na hata wewe uliyesema Mimi domo zege + mkono zege asante pia kwa mchango na ushauri mzuri kwangu.
  11. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Asante kwa ushauri mzuri@kahtaan
  12. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Yap awe mke wangu
  13. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Jamani hapo kwenye kabila ni lolote.
  14. JONATHAN KAMWAVAH'S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Aslaam alyeiku,kwanza naanza kwa kumshukuru Allah kwa uzima aliotupati,Kisha kuwashukuru wote mtakao changia mada hii,kikubwa ni kujenga na si kubomowa. Nimejitokeza Mbele ya kurasa hii nia ni kutafuta mchumba ambaye soon kama tutapatana ndiye atakayekuwa mke wangu. Anayetafutwa: Umri 18-30...
Back
Top Bottom