Wadau, naomba muongozo kwa yeyote anayelifahamu soko la sungura (I mean wanunuzi wa sungura) aniunganishe na wanunuzi wa uhakika.
Natanguliza Shukrani.
My WhatsApp +255767313277.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam Wadau,
Natumaini Mwenyenzi Mungu anawafanyia wepesi katika uhitaji wenu wa kila siku!
Ninauhitaji Mkubwa wa Kupata Elimu Kiutendaji katika Kazi/Biashara ya Copper Cathodes hasa kwa wale ndugu zangu wanaoifanya hivi sasa au walikwishaifanya hapo awali.... Ninaomba wanishirikishe uzoefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.