Recent content by jonas2011

  1. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya bitcoin ama hisa za CRDB pamoja na FOREX znapatikana vp? Twende pamoja

    ❌BITCOIN SIO PYRAMID SCHEME, Hii si sahihi kimsingi. Kwa sababu: Pyramid scheme ina tabia ya: Kutegemea kuingiza wanachama wapya ili waliotangulia walipwe. Kutoshirikisha bidhaa au huduma halisi. Bitcoin, kwa upande mwingine: Ni mfumo wa fedha wa kidijitali ulio wazi (open-source...
  2. J

  3. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Mbweni, bajeti Mil. 60

    https://www.jamiiforums.com/threads/plot-for-sale-kimara-stop-over.2365460/
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Mbweni, bajeti Mil. 60

  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Goba au Madale

    https://www.jamiiforums.com/threads/plot-for-sale-kimara-stop-over.2365460/ Cheki Hyo...Unaweza nunua kimoja Pia ...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wachawi wamewai kunifanyia vitu vya ajabu mpaka leo sipati majibu.

    Mkuu, naungana Na wewe Hya mambo Yapo..Na mara nyingi Yanatoka Kwa watu wa karibu kabisa kwenye familia zetu !! Ila naitaji Kujua ulimalizaje?
  7. J

    JamiiForums Tanzania PLOT FOR SALE KIMARA STOP OVER

    Karibu
  8. J

    JamiiForums Tanzania PLOT FOR SALE KIMARA STOP OVER

    Vivanja 2 vinauzwa Kimara stop over. Ni Kilometa 4.5 Kutoka Kituo cha basi Stop Over, Upande wa Kulia kama unatoka Ubungo. Ukubwa wa viwanja Sqm 903-Mil 38 Sqm 1117-Mil 43 Vimepimwa ila hati bado. Bei kwa vyote:-81M Call 0713794962
  9. J

    JamiiForums Tanzania Viwanja viwili vinauzwa Kibaha Visiga-Madafu

    Nauza Plots Kibaha(Visiga-Madafu) ziko Mbilil,zimeungana kilometa 3 kutoka lami Morogoro road(Kituo cha Madafu). zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai. Umeme na Maji vyote vimefika. Panafikika kiurahisi kabisa(Lami) Jumla ya square meter 1388. Zina Hati Miliki ya Wizara. Bei (zote mbili...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Mkuu Uko, sema Kuna elimu Moja wengi tunaikosa, Hizo Bonds , UTT na wenzake wote sio biashara ni lnvestment(for investers watu wenye pesa nyingi) ndo maana lazima Uweke pesa nyingi ili upate Matokeo. Sasa Ili uwe investor in Most Cases Lazimi uwe Umefanya either biashara Ukapata Pesa nyingi ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja viwili vinauzwa Kibaha Visiga-Madafu

    Upande Wa Kushoto Kama unaelekea Morogoro..(unafuata Lami)
  12. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja viwili vinauzwa Kibaha Visiga-Madafu

    Plot Moja 8000tsh kwa sqm.(694*8000)= 5,552,000tsh. (Mazungumzo Yapo piga simu)
  13. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja viwili vinauzwa Kibaha Visiga-Madafu

    Hyo bei ni Kwa vyote viwili..
  14. J

Back
Top Bottom