Apana kaka, vigezo kwa CO na Medical lab kwa ngazi ya diploma vimeshuka ambapo ukiwa na D kwa Masomo ya science unachaguliwa lakini kwa upande wa nursing vigezo vimeongezwa...kusoma certificate ya nursing inatakiwa uwe na CCD kwa masomo ya science pia
#pitia NACTE guidebook ya mwaka huu
Jamaa una ham ya kubishana au unataka kuelewa
...zaman ya mwaka gani unayosema?
Mwaka jana kuna watu alisoma dploma ya uuguzi bachelor akasoma Md
Mwngne dipoloma ya maabara bachelor anasoma nursing
Mwaka huu:kuna nurse in service kachaguliwa bachelor ya maabara
Kaka sio kweli kwa ulichosema...kozi zote za afya kwa ngazi ya diploma wanaruhusiwa kusoma kozi yoyote ya afya kwa ngazi ya bachelor (wanaita equivalent qualification) mfano...nurses anaweza soma md,,,laboratory & vice vers....kama unaitaji maelezo zaidi na evidence...njoo inbox
Sawa mkuu nmekuelewa
# ila sio order ila ana share idea kwa kile anachokjua kwa lengo la kumsaidia mgonjwa
Anawezasema kitu ambacho sio sahihi nurse asifanye kama alivyo ambiwa ...aka apply nursing knowledge na akafanya kama yeye anavyojua.
Nurse anasoma sawa kama Md lakini kuna baadhi ya...
http://www.tamisemi.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/AJIRA%20ZA%20AFYA-pdf-compressed.pdf
#io link ni mfano tosha ni watu gan I wanaitajika kwa wingi....ajira zilizotoka mwaka huu
Nurses level zote wapo 2000 na points
Pharmacist level zote wapo 300...mia 3
Lab technologist...
Kaka kwa sasa hio hali ya nurse kumuona doctor/Amo/CO kama kiongozi haipo tena...
(Nursing is distinctly from medicine)
Nursing kwa sasa ni professional inayojitegemea kabisa lakini wakati wa kumsaidia mgonjwa ndio they work as a team na kila mtu atafanya kazi yake ...kwa mfano doctor atafanya...
Wadau samahani nimechaguliwa udom college of health...wakati nafanya application kuomba mkopo niliambatanisha Chet cha kuzaliwa lakini sikwenda kuhakiki Rita.. Kwa sababu iliokua juu ya uwezo wangu...Ada kwa semester ya kwanza ni laki 7.5 jumlisha direct cost laki 3 ....kwaio mkopo sijabahatika...
1.Mwanza expert
2.mweac
3.makene education center
4.kingine sikijui jina ila kipo opposite na nyanza primary
(Ukiwa unatoka upande wa kuleana ...mkono wa kushoto kuna show room ya magari... Mbele yake red Cross then kuna chuo,baada ya apo io Center ya Qt ndo unafikia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.