Recent content by Jokeya

  1. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanafanya maandamano Mwanza

    Hao ni watu wanaotembea tu wala hawaandamani.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna wa Madini

    Bwana Mchwampaka na Bwana Kilangi hongereni na chapeni kazi.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

    Tuwaombee tu kwa mwenyezi mungu wasije wakauawa.
  4. J

    JamiiForums Tanzania MERU: Mkurugenzi afunga ukumbi wa Halmashauri bila taarifa yoyote ya kuahirisha kikao

    Kwani hajawaeleza sababu ya kufunga ukumbi? Wawe wawazi! Kulalamika lalamikal tu!
  5. J

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    Tusubiri tuone. Rais lazima ana sababu ya kumteua Anna Kilango. Time will tell.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Wanafunzi waliodahiliwa UDOM walistahili maana walikuwa na sifa zinazotakiwa

    Kutofautiana juu ya jambo hili kunaonesha wazi kuwa kuna bifu kwenye suala hili. Kuna haja ya viongozi hawa kukaa na kukubaliana jinsi ya kimaliza aibu hii ya UDOM.
Back
Top Bottom