Recent content by jokama01

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina Samsung Note 8 Njoo na bei yak 0623324295
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Physics na Biology natafuta kazi

    Jamani Mimi ni mhitimu tu wa diploma maalumu ya ualimu mwaka huu na ninasubiri. Matokeo natafuta kazi ya kufanya nimesomea Physics na Biology.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Jamani kwa wanafizikia ni namna gani ya kutafuta phase constant kwenye simple harmonic motion Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ku apply chuo

    Da mkuu kuhusu password cjuu ila username naijua
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ku apply chuo

    Samahani wakuu mdogo wangu ameniambia kuwa ameapply chuo ila nahisi no muongo naomba msaada no namna gani naweza kuhakiki
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma IFM

    Amemaliza form four
  7. J

    JamiiForums Tanzania JOIN INSTRUCTION

    Hazifunguki ankooo
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimepanhiwa stashahadaa maalumu ya ualimu wa fizikia na baiologia kasulu tc

    Msaad kwa kawaida vyuo hivi huanza lini
  9. J

    JamiiForums Tanzania P c b vifaaa

    Disecting kit ya operation inauzwa 0683105864
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jamanii nauza vitabu vya mchepuo wa pcb

    Ncheki 0683105864
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jamanii nauza vitabu vya mchepuo wa pcb

    Mkuu hivo ni vitabu viwili sema sikuweka alama ya mkato
  12. J

    JamiiForums Tanzania MSAADA material ya form V na VI PCB

    0683105864 nchek
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jamanii nauza vitabu vya mchepuo wa pcb

    Chand biochemistry nk
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kasulu teacher's college

    Wakuu kwa anaye ielewa kasulu teacher's college anipe muhtasari iko vipi kitaaluma ,mazingira nk
  15. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nimepangiwa chuo cha ualimu kigoma stashada ya ualimu wa fizikia na biologia . Sasa naomba ushauri nfanyaje jameni na mi mipango yangu ilikuwa ni kwenda advance nikasome pcb
Back
Top Bottom