Mwalimu wa Physics na Biology natafuta kazi

Mwalimu wa Physics na Biology natafuta kazi

jokama01

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
21
Reaction score
5
Jamani Mimi ni mhitimu tu wa diploma maalumu ya ualimu mwaka huu na ninasubiri.

Matokeo natafuta kazi ya kufanya nimesomea Physics na Biology.
 
Jamani Mimi ni mhitimu tu wa diploma maalumu ya ualimu mwaka huu na ninasubiri.

Matokeo natafuta kazi ya kufanya nimesomea Physics na Biology.
Andika vzr,afu nyie diploma inabidi mfundishe primary, maana wengi wenu vilaza tu
 
Nenda mzumbe sekondari ipo wilaya ya mvomero mkoa wa morogoro wanataka mwalimu wa kufundisha physics advance au form six kwa lugha rahisi
 
Back
Top Bottom