Recent content by Jokajeusi

  1. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Wakiwa wao kwa wao yaani wakristo kwa wakristo lakini nje wakristo ni wamoja
  2. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  3. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Kanisa limelambishwa
  4. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Mafundisho ya kristo yanaamrisha wakristo kuwa wamoja
  5. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Makanisa yaungane kunusuru Kanisa a Gwajima
  6. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Inawezekana vipi afanye kosa mmoja mfungie kanisa lote. Sisi waumini tumekosea nini
  7. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Mtu mmoja kuhukumiwa na kuumiza wengine haipo sawa jamani
  8. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Mughonile! kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba: "Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma." Nauliza, je...
  9. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

    Umri huu niibiwe bikra bandia. Jando sikwenda kucheza
  10. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

    coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe. Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine. Bikra Matter
  11. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Mzungu, Wanaume siku hizi hawajiamini kwa sababu hawawakuti mkiwa na bikra

    Babymama achana naye huyo fisi
  12. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Mzungu, Wanaume siku hizi hawajiamini kwa sababu hawawakuti mkiwa na bikra

    Muache Babymama wangu Cute bebz. Nilimkuta bikra wewe Baki na takataka zako
  13. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra Matter
Back
Top Bottom