Recent content by joka la x

  1. J

    Doreen Wa Mrema! Naamini Mume wangu Hajafumba Macho

    Ache fiction wakati ,hata fiction unayoitamka hajui maaana yake
  2. J

    Doreen Wa Mrema! Naamini Mume wangu Hajafumba Macho

    Hapaswi kuwa "part of them" namanisha yeye kama yeye Kabla hajaoelewa na mlema alikuwa anapata wapi riziki ,je? Wamekaa mda gani na mlema kweny ndoa ,haya Mambo hayahitaji hesabu kubwa .tulia mtangulize mungu
  3. J

    Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

    Pumbavu ni wewe usie kuwa na uhakika na unachokifanyanya ,Unajifanya Una AKIRI kumbe ni zero +0,think propery kuna watu unawajadili alafu siyo leval zako,wenzako wanakata kufanya final decision wewe hata namba ya mtendaji huna,umekalilishwa ujimga WA chuo ulichohitimu
  4. J

    Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

    Wewe ni mshamba mmoja hivi uliokosa direction ya mjini,umebaki unatapatapa tuu.
  5. J

    Kangi Lugola anafaa kuwa mwenyekiti mpya wa parol

    Kwa nini alitumbuliwa?alafu arudishwe tena kana kwamba wenye sifa zaidi yake hawapo?
  6. J

    Nigeria: Ajikata nyeti akiwa anaota anachinja mbuzi ndotoni

    Wataalam na wabobezi WA mambo naombeni ufafanuzi --- Mwanaume mmoja nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 42 anapambania kuokoa maisha yake baada ya kuzikata sehemu zake za siri na kisu ndotoni, baada ya kuota anachinja mbuzi kwa ajili ya kumsaidia mke wake kuandaa chakula cha jioni. Tukio hilo...
  7. J

    Naombeni tafsi ya ndoto hii

    Nimeota nipo kwenye mfano wa jengo linalofanana na shimo,Katika ndoto inaonesha watu hawaishi lakini watu wanapita wengi kama kivuko cha kuelekea upande mwingine,sasa mm nimejikuta nimo humo na watu kama 6 .wote wamevuka Ila Mimi nimeshindwa kabisa kuvuka Kila nikikanyaga natereza hatimae nikawa...
  8. J

    Ukiingia kwenye NMB Mobile inakwambia salio halitoshi

    Kueni wakweli ,unafiki hauna maana,
  9. J

    Askari wa Suma JKT asiyejielewa!

    Hakuna watu qanafiki Kama Sisi watanzania,uliwezaje kumuona kama anemuondoa dereva kwenye usukani wakati hujui Kwa nini alimkamata dereva ?
Back
Top Bottom