Recent content by Joka la mdimuni

  1. Joka la mdimuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya acheni Wizi na sifa za kijinga

    Kila siku mmekuwa mnajaribu kujimikisha rasilimali za Tanzania kwa kuzitangaza kimataifa kuwa ni za kwenu kitu ambacho si cha kweli. Rasilimali zote hizo ni za tz mfano mlima kilimanjaro n.k
  2. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kufunga tena duka langu moja la simu za Jumla Kariakoo

    Kama machinga unaona wanapata faida si na wewe kuwa machinga? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya sikukuu ya uhuru wa Tanganyika 09 Desemba 1962

    Kuna typing error wakuu ni 1961 na sio 1962.
  4. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya sikukuu ya uhuru wa Tanganyika 09 Desemba 1962

    Mungu ibariki Tanzania na Afrika mzima[emoji120] Watz wote muwe na maadhimisho mema ila swali langu ni je, maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Tanganyika Watanzania tumenufaika nini na serikali yetu?
  5. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Benki ya dunia kukubali kutoa dola 300 kwa Tanzania

    Tatafika tu.
  6. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Rostam Aziz

    Tarehe 13/11/2018 Mfanyabiashara maarufu nchini Bw. ROSTAM AZIZ alifika Ikulu Jijini Dar es Saam kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI kwa kazi nzuri anayofanya ya kuwatetea na kuwaletea maendelea wananchi hasa wanyonge na kujenga Tanzania mpya yenye...
  7. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Wapinzani kuongeza hatua za Rais John Pombe magufuli za kuimarisha uchumi jumuishi.

    Tarehe 13/11/2018 Mfanyabiashara maarufu nchini Bw. ROSTAM AZIZ alifika Ikulu Jijini Dar es Saam kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI kwa kazi nzuri anayofanya ya kuwatetea na kuwaletea maendelea wananchi hasa wanyonge na kujenga Tanzania mpya yenye...
  8. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Jen. Davis Mwamunyange kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA

    Mkuu wa Majeshi mstaafu Jen. Devis Mwamunyange ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya maji DAWASA
  9. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Adha karibu na geti la Ikulu Dar!

    Hahahaa et matuta ya mchicha. Viongozi jitahidini kurekebisha hizo kasoro zinazoelezwa ili kuepuka mifano inayofurahisha. Hahahaa
  10. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Mstaafu Dk.Jakaya Kikwete akivuna mahindi shambani na Mke wake Salma Kikwete

    Hapo chacha. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Mstaafu Dk.Jakaya Kikwete akivuna mahindi shambani na Mke wake Salma Kikwete

    Kwa hata akisema ameenda kujiselfie we utaonhezeka nn??? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Wazo - CCM isipewe nafasi yoyote kwenye Mazishi ya Ndesamburo

    Kwann isipewe?
  13. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Imepenya iyoo[emoji181] [emoji818]
  14. Joka la mdimuni

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    News: CDM ni chama pekee kinachowaharibu wanawake. Vitendo hivyo vinafanywa na viongozi wakubwa wa chama hicho. Aidha, ijumaa ya tarehe 2/6/2017 imepatikana audio mubashara ikimuonesha Mwenyekiti wa CDM FREEMAN MBOWE anavomuomba msamaha mwanachama wake kipenzi wake wa sasa WEMA SEPETU ili aende...
Back
Top Bottom