Recent content by Jojo12

  1. Jojo12

    JamiiForums Tanzania Tusio na kazi tukutane hapa

    Tupo wengi jaman!
  2. Jojo12

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni mrejesho

    Kwa wakazi wa mbeya tusaidiane vibarua barua ujuzi nesi mwaka mmoja yaani medical attendant na taaluma ya uhasibu please mkisikia nafasi sehemu tujulishane.Asante!
  3. Jojo12

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ndio wanatoa ila sio kwa campus zote mfano magogoni hawatoi ni kwa campus ya tanga.
  4. Jojo12

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wana jf.mimi ni kijana wa kike umri miaka 27 nipo mbeya mjini natafuta kazi ya uhasibu nimemaliza diploma katika chuo cha utumishi wa umma.
Back
Top Bottom